Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili?

Njia rahisi sana hata kama huna macho ya kuona ni harufu kali ya na mbaya ya ngozi inayotoka kwa anaejibadilisa ngozi yake ya asili. Hata aweke perfume gani huwa wananuka vibaya sana wakiwa karibu yako.
 
sasa kwa taarifa yako mimi ninangozi asilia sijawahi tumia kikorombwezo sipaki wanja,wala sina lipstic ,sitindi nyusi ,wala sijipaki makeup,huwa napaka mafuta ya mtoto mdogo na poda tu ukiniona nakuvutia na utanlamba miguu
,mada hii is so persona na walengwa wengi sio huku piga kampeni manzese,mwananyamala,kigogo,mburahati,gingilamboto,mombasa,magomeni etc

kulikoni nivea mbona umekua "tachidi" sana..
 
Last edited by a moderator:
angalia sehemu zote za mikunjo, kama katika vidole vya mikono na miguu, shingo, pili kama ni rangi yake ya asili rangi hiyo hufanana bila kutofautiana katika maeneo yote ya mwili wake
 
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business

mhhh, Nivea amekugusa au?
 
angalia viganja vya mikononi mkuu,hapo mkorogo hauna mbwembwe,au magotini!!
 
angalia sehemu zote za mikunjo, kama katika vidole vya mikono na miguu, shingo, pili kama ni rangi yake ya asili rangi hiyo hufanana bila kutofautiana katika maeneo yote ya mwili wake
 
Wanawake/wadada hasa hapa Dar es salaam wengi, ni weupe lakini ukiwachunguza kwa karibu ni kama wameungua sehem fulani za mwili bila kusahau maeneo baadhi ya usoni.Naamini wengi wao ni vidonge, carolite n.k.
Kiasi kwamba sasa kumtambua yupi ni mweupe wa asili na nani ni artificial inakuwa ngumu.
Je mwanamke/mdada mwenye ngozi asili ama weupe wa asili utamtambuaje?

N.B.
NAWACHUKIA WANAWAKE/WADADA WANAOJICHUBUA?
Angallia makalio yake. Hayo rangi yake hubakia original
 
Dah, thanks to Jah my Empress is Natural, maana siku hizi dunia imeisha...

Dada zetu wengi Nywele fake, ngozi fake, meno fake, kucha fake, **** fake, matiti fake, mikono fake, tabasamu fake, kope fake.... Dah! Afrikans wamebakiza mental slavery! Hivi haya mambo yataisha lini? :(
 
Wengine wanatumia sindano, na inabadilisha kila sehemu. Njia nzuri ni kufananisha na picha zake za zamani.
 
sasa kwa taarifa yako mimi ninangozi asilia sijawahi tumia kikorombwezo sipaki wanja,wala sina lipstic ,sitindi nyusi ,wala sijipaki makeup,huwa napaka mafuta ya mtoto mdogo na poda tu ukiniona nakuvutia na utanlamba miguu
,mada hii is so persona na walengwa wengi sio huku piga kampeni manzese,mwananyamala,kigogo,mburahati,gingilamboto,mombasa,magomeni etc

naomba namba yako basi.. Nipm plz!
 
Dah, thanks to Jah my Empress is Natural, maana siku hizi dunia imeisha...

Dada zetu wengi Nywele fake, ngozi fake, meno fake, kucha fake, **** fake, matiti fake, mikono fake, tabasamu fake, kope fake.... Dah! Afrikans wamebakiza mental slavery! Hivi haya mambo yataisha lini? :(

The rise of "chinaization"..
 
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business

message delivered.
 
Actions speak louder than words

KABLA...

attachment.php

BAADA...

attachment.php

Halafu wakisema miafrica hatuna akili tunalalamika.
Namshauri aseiende mwanza vijijini peke yake, wenzie wanaweza mfananisha.
 
Back
Top Bottom