mkandi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 281
- 121
Nataka kununua Mark 2 Grande kutoka Japan. Tatizo nililonalo, sijui nawezaje kuchagua aina ya engine (eg D4, vvti) wakati wa kuagiza esp kupitia befoward ambao niliwahi kuwatumia last time.
Tafadhali msaada wadau, kwani ningependa kulikwepa zimwi linyonya mafuta (D4, kama nisikiavyo kwa wadau).
Natanguliza shukrani
Tafadhali msaada wadau, kwani ningependa kulikwepa zimwi linyonya mafuta (D4, kama nisikiavyo kwa wadau).
Natanguliza shukrani