Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

mkandi

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
281
121
Nataka kununua Mark 2 Grande kutoka Japan. Tatizo nililonalo, sijui nawezaje kuchagua aina ya engine (eg D4, vvti) wakati wa kuagiza esp kupitia befoward ambao niliwahi kuwatumia last time.
Tafadhali msaada wadau, kwani ningependa kulikwepa zimwi linyonya mafuta (D4, kama nisikiavyo kwa wadau).
Natanguliza shukrani
 
Usijali mkuu kabla hujalipia utatoa specification za gari unayoitaka na ndiyo utakayoletewa.

Ondoa shaka!
 
Ahsante mkuu. So naweza negotiate nao kuhakiki kama gari iliyobandikwa kwenye page ni yenye engine husika! Coz hua naona reply zao ziko more 'automated'
 
Cheki na agent wako ndiyo wajibu wao kuhakikisha unaletewa gari unayoitaka we we baada ya kufanya confirmatiom mkuu
 
kirahisi ni kwamba D4 ina cc 2500 so Mark 2 grande ya cc 2000 ni ya vvti .
 
Back
Top Bottom