Now private hospitals to receive govt cash . Ufisadi mwengine kama stimulus package!

Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,136

Friday, 11 November 2011 22:26
digg

nyoni-blandina-wiafya.jpg
Permanent Secretary for Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni.

By Songa wa Songa
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. In what has been described by observers as a major policy shift, the State will soon start allocating substantial amounts of money to private hospitals to facilitate more and better health service delivery in disadvantaged rural communities.

It has emerged that the government and donors have reached an agreement to channel half of the Sh168 billion in health budget support funds directly to public and private hospitals at the grassroots.

According to the government and the donors, this is a deliberate move to drive quick health delivery results through local councils throughout the country.Areas targeted include those that are highly disadvantaged, it was revealed yesterday by the ministry of Health and Social Welfare.

The donors who are expected to contribute some Sh168 billion this financial year noted that the new cash injection system would expand access and quick health service.

Through the initiative, about half of the funding or Sh81 billion will be channeled directly to local government authorities. This amount will go into financing front line health services in both private and public institutions.
The move to directly channel health funds to the councils would be welcome news following widespread complaints of embezzlements by the many layers of State bureaucracy.

Beneficiaries have in the past complained that money meant for such facilities did not reach them while the reports of the controller and auditor general are full of cases where bogus projects consumed millions of shillings in unexplained expenses.

Private hospital proprietors, mainly church or Community based organizations or NGOs would also be placated after many years of pressurising the state to extend them subsidies.Private health facilities play a critical role in places where public ones are either in short supply or do not exist usually have enough personnel and equipment to operate effectively.

The chair of the Development Partners Group on Health Dr Inge Baumgarten said the rationale and structure of this year's allocations aim at cracking equity, quality and personnel disparities at the local level. "At the moment, for example, certain districts and certain population groups remain particularly disadvantaged and have difficulties accessing even basic health services; we want to change that with allocations proportional to district populations and other poverty related indicators," Dr Baumgarten said.

The official noted that there was also a major allocation of Sh72 billion, half of which would go to the Medical Stores Department to procure drugs and supplies with a view to reducing drug and commodities stock-outs at dispensaries, health centres and district hospitals.

"Small funding allocations will also be made to supervision and oversight bodies including Tanzania's 21 regional secretaries and the Prime Minister's Office - Regional Authorities and Local Government", Dr Baumgarten added.
The agreement was revealed yesterday in a press statement released by the Permanent Secretary for Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni.

It followed a sectoral review meeting with the donors and other stakeholders held mid this week.
The PS said the commitment was an increase of 30 per cent from last year and will go towards the purchase of medicines, recruitment of doctors and nurses, improve hospitals and health facilities and develop general infrastructure. She said the government and its development partners were committed to using the health basket as a funding mechanism because the initiative had demonstrated the ability to speed up progress towards attaining national goals.

Source: The Citizen.

My take:

Kwanini serikali isiachane na hizi MoU za Serikali na non-governmental sectors? Kama hoja ni kuwasaidia wananchi maskini basi bora zaidi WANGELIWALIPIA WAGONJWA BADALA YA KUWAPA HELA HOSPITALI za watu binafsi au taasisi za kidini!!! Waachiwe wenye hospitali zao waziendeshe wenyewe na walipe kodi.
 
Mbombo nkafu!!!!!!! Swella!!!! Bojo!!!!Ulakoze!!!! Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wangu wote, niamkapo............
 
Ila za dini zenyewe kitambo zinapata, tatizo monitoring manake watendaji wengi wanamikono michafu

Mkuu,

Hata kama kuna monitoring nzuri kuna wajanja wataweza kupenya na kutafuna hela za bure. Ziachiwe hospitali zijiendeshe wenyewe serikali iwe inalipia gharama za wagonjwa tu kwa kulipa bili ya huduma, madawa. Hospitali zenyewe zijiendeshe na kulipa kodi zitakuwa na ufanisi zaidi kuliko hivi sasa ambapo serikali inatoa hela kwa taasisi husika na hakuna mfuatiliaji. Hawataweza kuboresha afya kwa namna hii hata siku moja.
 
Serikali ya rais legelege aka Fisadi papa imeshindwa na vipau mbele vyake sasa inatafuta jinsi ya kuiba fedha za walipa kodi kwa njia ambayo ni ngumu kuifanyia kazi. Hizo hospitali za serikali bado zinahitaji kuboreshwa katika kila hali, bado wakinamama wanalala chini tena Dar, je huko mikoani hali ikoje. Fikra za mtumwa siku zote hazitaendeleza taifa.
 
Mhh sijui kusaidia hospitali za vijijini ni sawa kabisa
Nahisi wanajamvi wengine hawana uzoefu au hawajui hali halisi ya vijijini
linapokuja suala la health services,Vijiji wamissionary walijenga mahospitali
amabayo walikuwa wakiyagharimia wao wenyewe walivyoondoka
wakaawachia wazawa bila support yeyote hivyo huduma kudorora sana
kama ilivyoo kawaida hata katika miradi mingine ya wahisani sustainability is a hot issue

Shida hapa tujadili modality ya kufikisha thamani ya huo msaada nawaambieni
kijijini huduma afya sio biashara na haiwezi kuwa biashara ..................
 
ngoja nikafungue kadispensari changu huko tatahimba nijipatie fedha za uzeeni.

Na mie nilikuwa na wazo sawia la kwako wacha nitafute hela mie nikaanzishe kajidispensary kijijini nijipatie kapensheni ka uzeeni. Siamini serikali ina sababu za dhati za kuboresha huduma ya afya. Na hao wafadhili pia hawana azma ya kuboresha afya kwani hela zinatoka kwao na zinawarudia wenyewe katika taasisi zao zinazotoa huduma.
 
Serikali ya rais legelege aka Fisadi papa imeshindwa na vipau mbele vyake sasa inatafuta jinsi ya kuiba fedha za walipa kodi kwa njia ambayo ni ngumu kuifanyia kazi. Hizo hospitali za serikali bado zinahitaji kuboreshwa katika kila hali, bado wakinamama wanalala chini tena Dar, je huko mikoani hali ikoje. Fikra za mtumwa siku zote hazitaendeleza taifa.

ni vizuri kufikiria +vely wakati mwingine

hospitali za dar huwa zinajaa kwani wagonjwa wengi ni wa referral toka mikoani, suala hapa si kuwalipia huduma wananchi tu bali pia angalia upande wa hospitali husika kutoa huduma bora kama kufanya vipimo vikubwa na kuajiri madaktali bingwa. hospitali zinahitaji ruzuku kubwa ili ziweze kutoa huduma bora. hospitali kama Peramiho kule songea imekuwa tegemeo la wagonjwa toka sehemu mbalimbali Tanzania, angalia KCMC nk hawa wakishindwa ndiyo wanawapeleka wagonjwa Muhimbili.

mimi naafiki hatua hii bila kuangalia hospitali ni ya dini gani au ya nani kwani ktk mahospitali hayo huwa hatuulizwi dini. cha msingi ni kuwa makini na matumizi ya pesa hizo na hospitali za kidini nadhani wanamatumizi bora ya account zao ndiyo maana hospitali zao ni nzuri miaka na miaka
 
Mhh sijui kusaidia hospitali za vijijini ni sawa kabisa
Nahisi wanajamvi wengine hawana uzoefu au hawajui hali halisi ya vijijini
linapokuja suala la health services,Vijiji wamissionary walijenga mahospitali
amabayo walikuwa wakiyagharimia wao wenyewe walivyoondoka
wakaawachia wazawa bila support yeyote hivyo huduma kudorora sana
kama ilivyoo kawaida hata katika miradi mingine ya wahisani sustainability is a hot issue

Shida hapa tujadili modality ya kufikisha thamani ya huo msaada nawaambieni
kijijini huduma afya sio biashara na haiwezi kuwa biashara ..................

umetoa point nzuri ila avatar yako kama ya vijana wa cameron haikubaliki Tz
 
Kitu ambacho huwa sikielewi ni kuhusu hawa tunaowaita watunga sera wetu. Sijui katika maamuzi yao kipi huwa ni surbodinate of the other between personal interests and pro bono publico. Jinsi maamuzi yanavyofanywa it is clear that pro bono publico is surbodinated to personal interests.

Baada ya kushindwa kufungua hospitali za umma vijijini zenye viwango sasa serikali inataka private sector wafanye hivyo ili wao wawalipe huu ni upuuzi na uvivu wa kufikiri. Ni dhahiri kuwa vijijini mteja mkuu wa hospitali hizi atakuwa ni serikali kwa kuwalipia wananchi masikini. Hakuna mwanakijiji atakayeweza kulipia hospitali za binafsi kama hazitoi huduma bure. Sasa kwa nini tu serikali isijenge hospitali zake?.

Kwa kuwa wafanyakazi wengi wa wizara ya afya wanamiliki hospitali binafsi wameamua kupitisha sera ya kujichotea hela za wizara kwa kisingizio cha kuboresha huduma. Huu ni wizi na ufisadi wa wazi. Kwa nini watu si wazalendo kiasi hicho?. Nchi hii sasa inahitaji uongozi ili kututoa hapa tulipo, yaani kila kitu watu wanaweka mbele masilahi binafsi badala ya masilahi umma. Kwa nini hizo pesa za kulipia private hospital zisitumike kuwalipa madaktari wa vijijini vizuri?

Tanzania ingekuwa na uongozi bora unaojali masilahi ya umma, uboreshaji wa rural healthcare kwa kujenga nyumba bora za madaktari na kuwapatia rotation ya kufanya kazi huko. Mfano madaktari bingwa wanatoka mijini na kuhamia vijijini kwa rotation ya mwaka mmoja mmoja na akiwa huko anapata mshahara wake wa mjini plus 50% ya mazingira magumu, tutakuwa tumeboresha huduma za afya vijijni. Ila kwa kuwa watu wanagombea uongozi kama njia ya kujitajirisha basi hawapo in touch with the reality on ground. Yaani kila mtu kivyakevyake.
 
nashawishi hospitali za serikali ziruhusiwe kujiendesha kibiashara zaidi sio kuziwezesha private hospitals pekee halafu mnaziacha goverment hospitals zikilalamikiwa kutoa huduma duni.
 
Kitu ambacho huwa sikielewi ni kuhusu hawa tunaowaita watunga sera wetu. Sijui katika maamuzi yao kipi huwa ni surbodinate of the other between personal interests and pro bono publico. Jinsi maamuzi yanavyofanywa it is clear that pro bono publico is surbodinated to personal interests.

Baada ya kushindwa kufungua hospitali za umma vijijini zenye viwango sasa serikali inataka private sector wafanye hivyo ili wao wawalipe huu ni upuuzi na uvivu wa kufikiri. Ni dhahiri kuwa vijijini mteja mkuu wa hospitali hizi atakuwa ni serikali kwa kuwalipia wananchi masikini. Hakuna mwanakijiji atakayeweza kulipia hospitali za binafsi kama hazitoi huduma bure. Sasa kwa nini tu serikali isijenge hospitali zake?.

Kwa kuwa wafanyakazi wengi wa wizara ya afya wanamiliki hospitali binafsi wameamua kupitisha sera ya kujichotea hela za wizara kwa kisingizio cha kuboresha huduma. Huu ni wizi na ufisadi wa wazi. Kwa nini watu si wazalendo kiasi hicho?. Nchi hii sasa inahitaji uongozi ili kututoa hapa tulipo, yaani kila kitu watu wanaweka mbele masilahi binafsi badala ya masilahi umma. Kwa nini hizo pesa za kulipia private hospital zisitumike kuwalipa madaktari wa vijijini vizuri?

Tanzania ingekuwa na uongozi bora unaojali masilahi ya umma, uboreshaji wa rural healthcare kwa kujenga nyumba bora za madaktari na kuwapatia rotation ya kufanya kazi huko. Mfano madaktari bingwa wanatoka mijini na kuhamia vijijini kwa rotation ya mwaka mmoja mmoja na akiwa huko anapata mshahara wake wa mjini plus 50% ya mazingira magumu, tutakuwa tumeboresha huduma za afya vijijni. Ila kwa kuwa watu wanagombea uongozi kama njia ya kujitajirisha basi hawapo in touch with the reality on ground. Yaani kila mtu kivyakevyake.

Niliwahi kujadili na Mkandara na nikamuambia ni vema serikali ikajikita katika kutoa msaada wa gharama za malipo kwa wananchi utakuwa na nafuu zaidi kuliko kutoa pesa hospitalini ambapo ni sawa na ufisadi tu zitaishia kuliwa na wajanja. Serikali ibakiwa na hospitali za rufaa na za mkoa tu ili iweze kuzihudumia kwa ufanisi zaidi. Hembu tizama hapa katika hii link inashangaza hospitali ya taifa ya muhimbili utafikiri uko hospitali ya manzese au hospitali vijijini watu wamelala chini, wakipumuliana hii ni hatari tupu. Pata link hapo chini ni aibu hivi na hatari kwa afya zetu.

hospitali-Zinatuua Tanzania

Waziboreshe hospitali za rufaa ziweze kufikia kiwango cha kimataifa na huku wakisaidia kulipia gharama wazawa (watanzania) particularly watanzania ambao kipato chao kiko chini ya Tshs 400,000. Wenye kipato cha juu kuanzia laki 500,000 na kuendelea wanaweza kumudu gharama za matibabu au serikali inaweza kupunguza kiwango cha mchango wake wa gharama katika matibabu yao.
 
Back
Top Bottom