Now private hospitals to receive govt cash . Ufisadi mwengine kama stimulus package!

tulianza na mpango wa nchi nzima kupima virusi vya ukimwi kwa hiari , hajui gharama. Tukagawa chandarua eti bure gharama hatuzijui.
stumulus package. sasa unakuja ufisadi mwingine
 
Mfumo kristo

kivipi mkuu, maana kama kuna serikali yenye wafanya maamuzi ambao ni waislamu basi ni hii ya awamu ya nne. kuanzia bara hadi visiwani kote ni muslim leaders tupu. Acha ushabiki wa kidini
 
Mkuu,

Hata kama kuna monitoring nzuri kuna wajanja wataweza kupenya na kutafuna hela za bure. Ziachiwe hospitali zijiendeshe wenyewe serikali iwe inalipia gharama za wagonjwa tu kwa kulipa bili ya huduma, madawa. Hospitali zenyewe zijiendeshe na kulipa kodi zitakuwa na ufanisi zaidi kuliko hivi sasa ambapo serikali inatoa hela kwa taasisi husika na hakuna mfuatiliaji. Hawataweza kuboresha afya kwa namna hii hata siku moja.

Unafikiri kwa kufanya hivi ndio ufisadi hautakuwepo. Angalia kwenye elimu ya juu kwa mfano au bills nyingine za huduma ambazo serikali inatakiwa ilipie kama kwenye makambi ya jeshi n.k Ukitaka hospitali zijiendeshe unamaana zijiendeshe kwa faida (for profit) au zitoe huduma? Halafu hatari unayojaribu kuiepuka bado itakuwepo kwani hata serikali ikilipia hizo huduma - tena kunaweza kuwa na ufisadi mwingine - badomahospitali ya binafsi yatapata a bigger portion ya hizo fedha. Bado fedha nyingi zitaenda kwenye mahospitali ya makanisa!
 
nikiwa kama mdau wa afyA this is goodmove... As long as we have a robust and accountable mechanism in place
 
Hii nchi imeoza sasa wanajenga au wanabomoa. What private hospitals katika level gani maana kuna zingine ni clinics watasema ni hospitali watapewa pesa...hivi kwa nini lakini? Kama pesa ipo kwa nini wasikarabati hospitali za mikoa wilaya na zahanati vijijini kuliko kuzidi kuwapa hawa mafisadi pesa yetu. Huu ni wendawazimu kupita maelezo. Kulia natamani hivi kwa nini lakini kwa nini watu wanakuwa wabinafsi namna hii? Lakini u know wat!! SIKU INAKUJA HAIKO MBALI TUTAIONA NEEMA, NEEMA WALIOTUACHIA BABU ZETU
 
Unafikiri kwa kufanya hivi ndio ufisadi hautakuwepo. Angalia kwenye elimu ya juu kwa mfano au bills nyingine za huduma ambazo serikali inatakiwa ilipie kama kwenye makambi ya jeshi n.k Ukitaka hospitali zijiendeshe unamaana zijiendeshe kwa faida (for profit) au zitoe huduma? Halafu hatari unayojaribu kuiepuka bado itakuwepo kwani hata serikali ikilipia hizo huduma - tena kunaweza kuwa na ufisadi mwingine - badomahospitali ya binafsi yatapata a bigger portion ya hizo fedha. Bado fedha nyingi zitaenda kwenye mahospitali ya makanisa!

Hivi nikuulize Mwanakijiji nia na madhumuni ya waanzilishi wa hospitali za binafsi ni kitu gani? Unadhani gawio la mwisho la mapato linaenda kwa nani? Hospitali binafsi zinajiendesha kwa faida iwe za kanisa au private au msikiti. Wakipewa hela unawapunguzia gharama za uendeshaji na kuongeza profit margin yao. Na mifano tunaiona kwamba mfano hospitali za makanisa zimekuwa zikipata Bilioni 91 kwaajili ya financial assistance but badala ya kusaidia kupunguza gharama gharama zimekuwa zikienda juu. Unaweza kututajia Trilioni 1.2 zimekuwa zikitumikaje katika Mou ya TEC, CCT against the government? Hakuna auditing yeyote imefanyika na matokeo yake ni ufisadi tu unaendelea. Sasa serikali inawaruhusu private companies to receive government financial assistance but uchunguzi wa awali inaonekana mwendo huo hauna faida kwa wananchi kwasababu huduma za afya still zimekuwa aghali mno kwa wananchi hasa wa vijijini na zimekuwa zinazidi kuzorota kwa siku zinavyoenda mbele.

Serikali kwa kugharamia gharama kwa watu wa kipato cha chini tutapunguza ufisadi kuliko kuwapa hela ya bure hospitali za binafsi na taasisi za kidini. Serikali inaweza kutengeneza taasisi ya kusimamia malipo ya gharama za matibabu kukawepo na central payment point inayosimamia huduma za hospitali. Hospitali za private ZIJITEGEMEE ZENYEWE KULIPA MISHAHARA, UMEME NA GHARAMA NYENGINEZO NA PIA ZILIPE KODI.
 
Unafikiri kwa kufanya hivi ndio ufisadi hautakuwepo. Angalia kwenye elimu ya juu kwa mfano au bills nyingine za huduma ambazo serikali inatakiwa ilipie kama kwenye makambi ya jeshi n.k Ukitaka hospitali zijiendeshe unamaana zijiendeshe kwa faida (for profit) au zitoe huduma? Halafu hatari unayojaribu kuiepuka bado itakuwepo kwani hata serikali ikilipia hizo huduma - tena kunaweza kuwa na ufisadi mwingine - badomahospitali ya binafsi yatapata a bigger portion ya hizo fedha. Bado fedha nyingi zitaenda kwenye mahospitali ya makanisa!

Binafsi ninaamini kuwa kama maadili yaliyopo kwenye baadhi ya taasisi za kanisa yangekuwepo na serikalini ni dhahiri nchi ingeendelea. Binafsi si muumini wa kanisa ila ninazifagilia sana hospitali za Mission. Mfano kuna wakati nilikuwa nikiishi Tabora, kwa kweli kila mtu alipokuwa akizidiwa alikuwa anataja hospitali ya Nkinga, Ndalla au Mvumi ya dodoma (Zote hizi ni Mission Hospitals) kama sehemu zaa kuokolea maisha badala ya kitete. Binafsi ndugu yangu aliponea Nkinga Mission Hospital baada ya kulazwa Kitete kwa mwezi mzima wasijue nini kinamsumbua. Nitakuwa tayari kuunga mkono kama fedha za wizara zitaelekezwa kwenye hospitali za Mission tu(Kwani tunaweza ku trace kupata accounts zao halali bila kuwa fictitious) na si watu binafsi nje ya hapo ni ufisadi.
 
nikiwa kama mdau wa afyA this is goodmove... As long as we have a robust and accountable mechanism in place

MTM,

Nilipoiona hii habari maswali haya yalijitokeza :-
a. Hospitali za level gani zitapata misaada hiyo ya serikali na kwanini?

b. Hizo hospitali zinaimpact gani kwa wananchi yaani zinahudumia kwa kiwango gani wananchi wa eneo husika.

c. Vp tutafatilia mfano millioni 50 zilizotumika kununua scanner (citi scan) zilitumika kununua hiyo scanner na ilikuwa kweli inahitajika kuhudumia wananchi.

d. Kwa sababu ipi tunaweza kujua umeme unaotumika katika hizo hospitali ulitumika kuhudumia wananchi wa kipato cha chini ?

e. Wanatuhakikishia vp wamiliki wa hizo hospitali hawana mahusiano ya karibu na wafanyakazi wa wizara husika.

f. Je Hospitali za serikali tuziuze na kuwaachia private hospitali watoe huduma ya afya?

g. Je kama ni yote hayo Wizara ya Afya kazi yake nini?????? Kwanini tusiifutilie mbali tukawa na kitengo cha afya chini ya wizara fedha.
 
Niliwahi kujadili na Mkandara na nikamuambia ni vema serikali ikajikita katika kutoa msaada wa gharama za malipo kwa wananchi utakuwa na nafuu zaidi kuliko kutoa pesa hospitalini ambapo ni sawa na ufisadi tu zitaishia kuliwa na wajanja. Serikali ibakiwa na hospitali za rufaa na za mkoa tu ili iweze kuzihudumia kwa ufanisi zaidi. Hembu tizama hapa katika hii link inashangaza hospitali ya taifa ya muhimbili utafikiri uko hospitali ya manzese au hospitali vijijini watu wamelala chini, wakipumuliana hii ni hatari tupu. Pata link hapo chini ni aibu hivi na hatari kwa afya zetu.

hospitali-Zinatuua Tanzania

Waziboreshe hospitali za rufaa ziweze kufikia kiwango cha kimataifa na huku wakisaidia kulipia gharama wazawa (watanzania) particularly watanzania ambao kipato chao kiko chini ya Tshs 400,000. Wenye kipato cha juu kuanzia laki 500,000 na kuendelea wanaweza k
umudu gharama za matibabu au serikali inaweza kupunguza kiwango cha mchango wake wa gharama katika matibabu yao.

Mkuu Mdondoaji hii ya kutoa msaada wa malipo kwa wagonjwa theoreticaaly ni nzuri lakini practically mhh. Sioni inaweza kutekeelzwa vipi. Kama kuna mapungufu kwenye huu utaratibu wa sasa basi unachpendekeza wewe kitakuwa na mapungufu mengi zaidi. Ni kazi zaidi kufanya monitring, na verification kwa mtu mmoja mmoja.
kama tuki aasume sasa hivi serikali inapoteza bilioni 1ja basi hii ya kuwalipa watu hasara yake itakuwa billioni 2 .

Ukitaka kujua mfamo mmoja. how tazama taratibu watu wanazumia kupata sickabsence au sic leave. Its so easy na sio rahisikuthibitisha.

Kinachotkiwa ni serikali isikwepe jukumu lake .Serikali Inatakiwa kupunguza utegemezi wa huduma kuu kutolewa na taasisi binafsi. Mbona wanaona umuhimu wa kuazisha majimbo mapya, wilaya mipya na mikoa mipya ya kisiasa

Lakini kwa serikali ya CCM sishangai

  • kama shirika moja la kitaifa lilikokuwa linatoa huduma tena kwa matu wa mijini TANESCO liinauliwa na liko hoi na hawaoni tatizo ndio ije wawe makini kwa hospitali zinazohudumia wilaya na vijiji?
  • Kama mbunge(mwanasiasa) anamzidi kipato afisa elimu wa wilaya na mkoa anamzidi mganga mkuu wa wilaya na mkoa.utaona priority ipo wapi kwenye siasa.
sitashangaa tu kuwa hata Kampuni za usalama na ulinzi zitazofungua matwi wilayani na vijini zitaanza kupewa ruzuku.
 
Zing,

Serikali imeanzisha mradi wa Vitambulisho utakuwa na taarifa za watanzania wote nchini. Vile vile kuna TRA wana taarifa za watanzania wengi tu. Serikali inaweza kuwaambia Wizara ya Afya iwe na rekodi za watanzania wote katika database ili isiwe rahisi kwa mahospitali ya private kusema wametibu watu 1000 na kupeleka bili ya watu 1000 kumbe wametibu watu 10. Kwa sasa tunaweza kuwa na taarifa za serikali kutoka RITA na TRA kukaandaliwa maktaba ya afya za watanzania.

Vile vile sio kila mtanzania alipiwe huduma ni wale wenye kipato cha chini tu!! Serikali inaweza kuchora mpaka wa kupata huduma bure ya afya. Wengineo wakajitegemea au wakatumia NHIF ambayo inatoa huduma nzuri kwa wengi. Serikali itapunguza gharama zake na vile vile itawekeza katika hospitali za mkoa na rufaa. Wagonjwa watakaopelekwa rufaa au mkoa watakuwa wale wenye matatizo mazito yanayohitaji uangalifu wa karibu.
 
Mdodoaji hakuna kitu kisicho na limitation . Nilichekchaka siku moja niliipona Nape anasema vitambulisho vya taifa vitasadia katika Kodi. Kwa kwel ndio hapo nilipoona tuna safari ndefu. Tafuta mwanasiasa au mii na wewe tanze kuorodhesha hizo faida za kitambulisho cha taifa utaona. waht I mean . Na kama kweli faida practically zipo nyingi kiasi hicho basi mradi huu ulitakiwa kuaw mradi wa kupanua kitambulisho cha mpiga kura. Sio kuwa kitu kipya na independent kabisa

TRA wana taarifa za watanzaia wengi????? Watanzania gani unaongelea. Mondoaji Tanzania unaijua ukubwa wake ? Hivi TRA mpaka sasa wametoa Tax Ientification Number ngapi tanzania nzima mpaka wawe na taarifaza watanzania wengi. Kuna wilaya hazina zaidi ya registered TIN number 1000.

Nakuthibitishia theoretically unachosema ni kizuri lakini pracctically controling, verifacatin yake ni ngumu sana kuliko hata ilivyo sasa. Hizo database za watu wote ndio kisima cha miradi mingine mingine ya kuchota fedha za watanzania.

  • Jiulize kwa nini hawkautaka kupanua matumzi ya mradi kitambulisho cha kipiga kura ili kitumike kama kitambulisho cha taifa?Je wakikamilisha mradi wa national ID wata scrap Voters registration?
  • Kwa nini Kuna mradi tofauti wa Passport, RITA, etc- taarifa zile zile zio katika system tofauti lakini ziko chini ya serikali
  • Traffic nao may be wana system yao toafuti ya registration y magari kama wlivyo TRA
  • Wewe unasema wizaraya afya ianzishe database ya watu wote
Mdondoaji haya mambo unayosuggest thereticaly ni mazuri lakinipractically ni siasa tu. Ni siasa sababuya apprach ya watendaji etu wanavyofanya mambo

Serikali iltakiwa ipitishe sera kua kuanzia sasa kipaumbele kabla ya kuanzisha tawala za kisiasa ziwepo huduma za jamii kama hospitali.
 
Hivi nikuulize Mwanakijiji nia na madhumuni ya waanzilishi wa hospitali za binafsi ni kitu gani? Unadhani gawio la mwisho la mapato linaenda kwa nani? Hospitali binafsi zinajiendesha kwa faida iwe za kanisa au private au msikiti. Wakipewa hela unawapunguzia gharama za uendeshaji na kuongeza profit margin yao. Na mifano tunaiona kwamba mfano hospitali za makanisa zimekuwa zikipata Bilioni 91 kwaajili ya financial assistance but badala ya kusaidia kupunguza gharama gharama zimekuwa zikienda juu.

Hii mada nilishaiona kule kwingine na niliiacha kwa sababu watu wanaiangalia kwa misingi ya kidini. Nikikuuliza ni hospitali gani za makanisa zinapata hizo bilioni 91 utapata shida kutaja. Na ukiuliza zinahudumia watu wangapi kwa siku au kwa mwaka na gharama utaona kuwa mzigo mkubwa wa kuziendesha hautoki serikalini. Lakini zaidi unaamini kuwa zinapewa bilioni 91 bila kuuliza hizo fedha zinaingizwa kwa mtindo gani - taslimu, vifaa, mishahara, n.k? Au wanapewa blank check waitumie wapendavyo?

Unaweza kututajia Trilioni 1.2 zimekuwa zikitumikaje katika Mou ya TEC, CCT against the government? Hakuna auditing yeyote imefanyika na matokeo yake ni ufisadi tu unaendelea.

Hili unalirudia mara kwa mara kuwa hakuna auditing. Na unasema so authoritatively lakini unapata uhakika kuwa hakuna auditing inafanyika? Well, kwanza tuambie ni hospitali gani za kanisa zinapata hizo fedha za ruzuku halafu kutoka hapo tujue kama hizo hospitali au fedha hizo haziwi audited kwa sababu sheria ya CAG inatoa madaraka ya kujua kokote ambako fedha za umma zinakwenda.
Sasa serikali inawaruhusu private companies to receive government financial assistance but uchunguzi wa awali inaonekana mwendo huo hauna faida kwa wananchi kwasababu huduma za afya still zimekuwa aghali mno kwa wananchi hasa wa vijijini na zimekuwa zinazidi kuzorota kwa siku zinavyoenda mbele.

Mwaka juzi serikali imetoa trilioni 1.3 hivi kwa ajili ya 'stimulus package' na ikaenda kwenye makampuni binafsi! Leo hii serikali inatoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima na imepanga hata kuwalipa baadhi ya wakulima ambao wameathirika na soko! Je hii ni sahihi? Kuzorota kwa huduma ya afya unaweza ukajaribu kuonesha kuwa kunatoka na fedha kwenda kwenye mahospitali really? That is very simplistic! Unafikiri kutoa fedha zaidi kwenye mahospitali ya serikali ndio kutasababisha kuwe na huduma nzuri?

Serikali kwa kugharamia gharama kwa watu wa kipato cha chini tutapunguza ufisadi kuliko kuwapa hela ya bure hospitali za binafsi na taasisi za kidini. Serikali inaweza kutengeneza taasisi ya kusimamia malipo ya gharama za matibabu kukawepo na central payment point inayosimamia huduma za hospitali. Hospitali za private ZIJITEGEMEE ZENYEWE KULIPA MISHAHARA, UMEME NA GHARAMA NYENGINEZO NA PIA ZILIPE KODI.

Yote sawa haya lakini guess nani atakayeumia sana? mwananchi wa kawaida. Think about it. Lakini pia unavyosema serikali igharimie watu moja kwa moja itakuwaje kama watu hao wataenda kwenye mahospitali ya makanisa zaidi na kuyakwepa mahospitali mengine yote na hivyo bado kiasi kikubwa cha fedha kinaenda kwenye hospitali za makanisa ambazo ni nyingi zaidi kati ya mahospitali ya binafsi? Fikiria KCMC, Bugando, Ndanda, Peramiho n.k kweli unafikiri unaweza kuzuia fedha za umma zisiende kwa mahospitali ya makanisa.

Swala la faida nalo ni zuri lakini mahospitali ya makanisa yakitoa huduma zao kwa faida hata serikali ichangie vipi mwananchi wa kawaida hawezi kumudu. Nani atalipa ile tofauti? - tofauti ya kile ambacho hospitali ina charge na kile ambacho serikali iko tayari kugharimia na kile ambacho mwananchi anaweza kulipa. Bila ya shaka utajikuta unapendekeza "caps" kwamba kwenye tiba fulani au huduma fulani hospitali isicharge zaidi ya kiasi fulani!
 
Vile vile sio kila mtanzania alipiwe huduma ni wale wenye kipato cha chini tu!! Serikali inaweza kuchora mpaka wa kupata huduma bure ya afya. Wengineo wakajitegemea au wakatumia NHIF ambayo inatoa huduma nzuri kwa wengi. Serikali itapunguza gharama zake na vile vile itawekeza katika hospitali za mkoa na rufaa. Wagonjwa watakaopelekwa rufaa au mkoa watakuwa wale wenye matatizo mazito yanayohitaji uangalifu wa karibu.

Hivi leo hii mikopo na huduma ambazo zilitakiwa kuwafikia maskini ni kweli zinawafikia maskini?

a. Bodi ya Mikopo
b. Ruzuku ya pembejeo
c. Mikopo kwenye mabenki makubwa
d. Fedha za EPA - kurudishwa kwenye kilimo
n.k

HIvi serikali hii ambayo imeshaonesha kuwa haina uwezo wa kufanya vitu hivyo vyote hapo juu kwa ufanisi na kujali maskini ni kitu gani kinakufanya uamini kuwa likija kwenye suala hili la afya they will do better? Msingi wa imani hii yako ni nini hasa? Au ni kitu gani kinakufanya uwe na hisia kuwa serikali ikiendesha taasisi zote za afya yenyewe basi hakutakuwa na ufisadi?
 
Hii mada nilishaiona kule kwingine na niliiacha kwa sababu watu wanaiangalia kwa misingi ya kidini. Nikikuuliza ni hospitali gani za makanisa zinapata hizo bilioni 91 utapata shida kutaja. Na ukiuliza zinahudumia watu wangapi kwa siku au kwa mwaka na gharama utaona kuwa mzigo mkubwa wa kuziendesha hautoki serikalini. Lakini zaidi unaamini kuwa zinapewa bilioni 91 bila kuuliza hizo fedha zinaingizwa kwa mtindo gani - taslimu, vifaa, mishahara, n.k? Au wanapewa blank check waitumie wapendavyo?

Hili unalirudia mara kwa mara kuwa hakuna auditing. Na unasema so authoritatively lakini unapata uhakika kuwa hakuna auditing inafanyika? Well, kwanza tuambie ni hospitali gani za kanisa zinapata hizo fedha za ruzuku halafu kutoka hapo tujue kama hizo hospitali au fedha hizo haziwi audited kwa sababu sheria ya CAG inatoa madaraka ya kujua kokote ambako fedha za umma zinakwenda.

Mwaka juzi serikali imetoa trilioni 1.3 hivi kwa ajili ya 'stimulus package' na ikaenda kwenye makampuni binafsi! Leo hii serikali inatoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima na imepanga hata kuwalipa baadhi ya wakulima ambao wameathirika na soko! Je hii ni sahihi? Kuzorota kwa huduma ya afya unaweza ukajaribu kuonesha kuwa kunatoka na fedha kwenda kwenye mahospitali really? That is very simplistic! Unafikiri kutoa fedha zaidi kwenye mahospitali ya serikali ndio kutasababisha kuwe na huduma nzuri?

Yote sawa haya lakini guess nani atakayeumia sana? mwananchi wa kawaida. Think about it. Lakini pia unavyosema serikali igharimie watu moja kwa moja itakuwaje kama watu hao wataenda kwenye mahospitali ya makanisa zaidi na kuyakwepa mahospitali mengine yote na hivyo bado kiasi kikubwa cha fedha kinaenda kwenye hospitali za makanisa ambazo ni nyingi zaidi kati ya mahospitali ya binafsi? Fikiria KCMC, Bugando, Ndanda, Peramiho n.k kweli unafikiri unaweza kuzuia fedha za umma zisiende kwa mahospitali ya makanisa.

Swala la faida nalo ni zuri lakini mahospitali ya makanisa yakitoa huduma zao kwa faida hata serikali ichangie vipi mwananchi wa kawaida hawezi kumudu. Nani atalipa ile tofauti? - tofauti ya kile ambacho hospitali ina charge na kile ambacho serikali iko tayari kugharimia na kile ambacho mwananchi anaweza kulipa. Bila ya shaka utajikuta unapendekeza "caps" kwamba kwenye tiba fulani au huduma fulani hospitali isicharge zaidi ya kiasi fulani!

Mwanakijiji,

Na mie nimekuuliza waulize makanisa chini ya TEC na CCT yataje mashule na mahospitali yanayopewa hela za Billioni 91. Vile vile unatuaminisha kwamba serikali imefeli kutoa huduma ya afya kiasi kwamba inategemea kanisa. Vile vile kama serikali imefail kutoa huduma hizo basi bora isitishe kutoa pesa hizo na badala yake pesa hizo zitolewe na kuweka katika kujenga hospitali za serikali. Hata hivyo tukirudi katika swala muhimu Mwanakijiji unalikimbia ni kwanini serikali itoe pesa kusaidia na kuhudumia hospitali binafsi!!!!!!!!!!

Haingii akilini serikali ichukue hela ya walipa kodi kwenda kuendesha private organisation kwasababu we pay taxes to the government ili iweze kuendesha shughuli zake. Kwa hiyo kama serikali imefail kutoa huduma ya afya kwa wananchi kwanini basi wasijenge hospitali zao wenyewe?

Kuhusu ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za taasisi za kanisa mwaka jana na mwaka juzi tulishuhudia viongozi wa kanisa walivyokuwa wakali pale serikali ilipoanza kuhoji pesa zinazotolewa na serikali zimetumikaje. Kitu gani kinachowafanya wakatae kuwa audited financial statements zao? To kill this conspiracy basi waruhusu independent financial auditor kama price waterhouse coopers etc. wafanye utafiti ijulikane zile Trilion 1.2 zimetumikaje tumalize mgogoro kuna shida gani Mwanakijiji.

Kuhusu kutoa huduma kwa kutoa pesa katika taasisi za afya za binafsi mie siliungi mkono ni wizi, ufisadi. Kama zilivyoyeyuka Trilion 2 za stimulus package na pesa zitakazotolewa na serikali kwenda katika taasisi za afya zitatoweka hivyo hivyo. Kwasababu kwanza ni ngumu sana kujua wamiliki halisi wa hospitali za private nchini. Pili mazingira ya rushwa nchini yatachangia kuzidisha ufisadi.

Serikali kama imeshindwa kujenga hospitali zake zenyewe basi imlipie mtanzania maskini gharama zake za matibabu. Makampuni binafsi ya kidini au yasiyo ya kidini yahamasishwe kuanzisha hospitali zao wenyewe. Gharama za matibabu zitapungua kama huduma za matibabu zikiwa nyingi. Kama huduma za matibabu zikiwa chache basi kuna hatari ya kulipia gharama kwa bei ya juu. Serikali ihamasishe wawekezaji katika huduma ya afya kushusha gharama za matibabu. But siamini kabisa ati hospitali za kanisa ziendelee kupewa pesa za walipa kodi kwasababu tu serikali yenyewe imefail kutoa huduma hiyo kwa mwananchi huo ni ufisadi mkuu.
 
Hivi leo hii mikopo na huduma ambazo zilitakiwa kuwafikia maskini ni kweli zinawafikia maskini?

a. Bodi ya Mikopo
b. Ruzuku ya pembejeo
c. Mikopo kwenye mabenki makubwa
d. Fedha za EPA - kurudishwa kwenye kilimo
n.k

HIvi serikali hii ambayo imeshaonesha kuwa haina uwezo wa kufanya vitu hivyo vyote hapo juu kwa ufanisi na kujali maskini ni kitu gani kinakufanya uamini kuwa likija kwenye suala hili la afya they will do better? Msingi wa imani hii yako ni nini hasa? Au ni kitu gani kinakufanya uwe na hisia kuwa serikali ikiendesha taasisi zote za afya yenyewe basi hakutakuwa na ufisadi?

Mwanakijiji,

Kwanini serikali imefail katika hayo hebu tuchunguze. Nitakupa sababu kuu:-
a. Ufisadi kuanzia ngazi ya juu hadi maafisa watendaji kwasababu ya kukosekana uaminifu katika utendaji.

b. Poor planning and management kunakosababishwa na kukosekana watu makini wenye uwezo wa kuchambua mambo kwa kiwango cha ufanisi.

c. Wanasiasa kuingilia utaratibu wa utendaji kwa kutimiza malengo yao ya kisiasa.

nk.
 
Mdodoaji hakuna kitu kisicho na limitation . Nilichekchaka siku moja niliipona Nape anasema vitambulisho vya taifa vitasadia katika Kodi. Kwa kwel ndio hapo nilipoona tuna safari ndefu. Tafuta mwanasiasa au mii na wewe tanze kuorodhesha hizo faida za kitambulisho cha taifa utaona. waht I mean . Na kama kweli faida practically zipo nyingi kiasi hicho basi mradi huu ulitakiwa kuaw mradi wa kupanua kitambulisho cha mpiga kura. Sio kuwa kitu kipya na independent kabisa

TRA wana taarifa za watanzaia wengi????? Watanzania gani unaongelea. Mondoaji Tanzania unaijua ukubwa wake ? Hivi TRA mpaka sasa wametoa Tax Ientification Number ngapi tanzania nzima mpaka wawe na taarifaza watanzania wengi. Kuna wilaya hazina zaidi ya registered TIN number 1000.

Nakuthibitishia theoretically unachosema ni kizuri lakini pracctically controling, verifacatin yake ni ngumu sana kuliko hata ilivyo sasa. Hizo database za watu wote ndio kisima cha miradi mingine mingine ya kuchota fedha za watanzania.

  • Jiulize kwa nini hawkautaka kupanua matumzi ya mradi kitambulisho cha kipiga kura ili kitumike kama kitambulisho cha taifa?Je wakikamilisha mradi wa national ID wata scrap Voters registration?
  • Kwa nini Kuna mradi tofauti wa Passport, RITA, etc- taarifa zile zile zio katika system tofauti lakini ziko chini ya serikali
  • Traffic nao may be wana system yao toafuti ya registration y magari kama wlivyo TRA
  • Wewe unasema wizaraya afya ianzishe database ya watu wote
Mdondoaji haya mambo unayosuggest thereticaly ni mazuri lakinipractically ni siasa tu. Ni siasa sababuya apprach ya watendaji etu wanavyofanya mambo

Serikali iltakiwa ipitishe sera kua kuanzia sasa kipaumbele kabla ya kuanzisha tawala za kisiasa ziwepo huduma za jamii kama hospitali.

Zing,

Sasa unafikiri kuna uafadhali kwa serikali kumwaga mapesa katika private hospitals? Kama wamefail katika kufuatilia matumizi kwa kutumia watumiaji huduma ya afya kutoka kwa wahusika wataweza kufuatilia matumizi ya pesa kwa watoaji huduma???? Ningelikuwa mie waziri nafikiri kufuatilia matumizi ya hela kutoka kwa watumiaji wa huduma wa afya ni bora zaidi kwani wao ndio wapiga kura wa serikali iliyopo madarakani na sio watoaji huduma ambao wengine wanaweza kuwa hata watu kutoka nchi za nje.
 
[

Friday, 11 November 2011 22:26
digg

nyoni-blandina-wiafya.jpg
Permanent Secretary for Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni.

By Songa wa Songa
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. In what has been described by observers as a major policy shift, the State will soon start allocating substantial amounts of money to private hospitals to facilitate more and better health service delivery in disadvantaged rural communities.

It has emerged that the government and donors have reached an agreement to channel half of the Sh168 billion in health budget support funds directly to public and private hospitals at the grassroots.

According to the government and the donors, this is a deliberate move to drive quick health delivery results through local councils throughout the country.Areas targeted include those that are highly disadvantaged, it was revealed yesterday by the ministry of Health and Social Welfare.

The donors who are expected to contribute some Sh168 billion this financial year noted that the new cash injection system would expand access and quick health service.
[/QUOTE]

Mbona kama vile wamelazimishwa na sio amri yao?
 
Serikali kama imeshindwa kujenga hospitali zake zenyewe basi imlipie mtanzania maskini gharama zake za matibabu. Makampuni binafsi ya kidini au yasiyo ya kidini yahamasishwe kuanzisha hospitali zao wenyewe. Gharama za matibabu zitapungua kama huduma za matibabu zikiwa nyingi. Kama huduma za matibabu zikiwa chache basi kuna hatari ya kulipia gharama kwa bei ya juu. Serikali ihamasishe wawekezaji katika huduma ya afya kushusha gharama za matibabu. But siamini kabisa ati hospitali za kanisa ziendelee kupewa pesa za walipa kodi kwasababu tu serikali yenyewe imefail kutoa huduma hiyo kwa mwananchi huo ni ufisadi mkuu.

@mdondoaji

Mtazamo wako wewe ni kutatua tatizo tau moja kutengenza matatizo lingine.

  • Hivi serikali inaweza kushindwa kufanya auditing wizara yake vizuri lakini iweze kufanya Auditing ya departmet zote za wizara hiyo hiyo
  • Alafu ebu fafanua na hiki kipimo cha umasikini kitakuwaje?
I thought wewe unayepinga pesa za serikali kwenda kweye taasisi binfsi za dini kuhudumia wagonjwa utasema serikali ijenge zake. Kumbe unasema iwagagawie fedha wagonjwa. Mbona hata watu wanaofanya fanya biashara ya afya watafuarhi ukiwa wewe ndiye waziri wa afya au rais wa nchi ukachukua maamuzi haya.

Unchopendekeza wewe uzuri wake ni huu

  • Mgonjwa atkuwa na uhuru zaidi wa kuchagua wapi aende kupatahuduma bora
  • Hopsitali zenye Mou na serikal sasa zitkuwa na hi y kupanga gharama mbali mbali bil ulzim wa kusharina na serikali.
Pendekezo lako ni zuri lakini serikali in genaral ndiyo itakayumia/ itayomumizwa zaidi kwa maamuzi haya ya kisiasa

Zing,

Sasa unafikiri kuna uafadhali kwa serikali kumwaga mapesa katika private hospitals? Kama wamefail katika kufuatilia matumizi kwa kutumia watumiaji huduma ya afya kutoka kwa wahusika wataweza kufuatilia matumizi ya pesa kwa watoaji huduma???? Ningelikuwa mie waziri nafikiri kufuatilia matumizi ya hela kutoka kwa watumiaji wa huduma wa afya ni bora zaidi kwani wao ndio wapiga kura wa serikali iliyopo madarakani na sio watoaji huduma ambao wengine wanaweza kuwa hata watu kutoka nchi za nje.

Mdondoaji ndio maaana sijaelwa msimamo wako Kama unadhanai serikali hiyo hiyo imeshindwa na inaudhaifu wa kusimami fedha zake inazotoa kwenye timu( Hospitali) Basi tegema failure kubwa zaidi kwenye kushindw kusimia pesa itakazo toa kwaa kwa mchezaji mmoja mmoja ambaye atachagua timu ya kwenda kucheza.. Hiyo ni simple logic ya management. Ndiyo maaana non kasoro kubw akwenye pendekeo lko la kutoa pesa tena unasema kwa masikini. Bado huja define who is masikini. Wa tabora atakuwa sawa na kigoma? Wa dar upanga atakuwa sawa na mwananyamala? Pga ebe atakuwa sawa na mama ntilie. machinga atauwa sawa na mkulim wa pamba.

Kwa kweli unacho suggest wewe it sound good kisiasa lakini hakisaidi kuliondoa tatizo. Kwa utaratibu unapendekeza utawapa uhuru zaidi hata hao wenye MOU na serikali na watazidi kuiamua seriali kuliko wanachopata sasa. Jaribu kufikiriaa zaidi mapendekezo yako
 
ni vizuri kufikiria +vely wakati mwingine

hospitali za dar huwa zinajaa kwani wagonjwa wengi ni wa referral toka mikoani, suala hapa si kuwalipia huduma wananchi tu bali pia angalia upande wa hospitali husika kutoa huduma bora kama kufanya vipimo vikubwa na kuajiri madaktali bingwa. hospitali zinahitaji ruzuku kubwa ili ziweze kutoa huduma bora. hospitali kama Peramiho kule songea imekuwa tegemeo la wagonjwa toka sehemu mbalimbali Tanzania, angalia KCMC nk hawa wakishindwa ndiyo wanawapeleka wagonjwa Muhimbili.

mimi naafiki hatua hii bila kuangalia hospitali ni ya dini gani au ya nani kwani ktk mahospitali hayo huwa hatuulizwi dini. cha msingi ni kuwa makini na matumizi ya pesa hizo na hospitali za kidini nadhani wanamatumizi bora ya account zao ndiyo maana hospitali zao ni nzuri miaka na miaka

Mkuu naona hujanisoma vizuri .. .... ... hii ni serikali legelege inayoomgozwa na Fisadi papa imeshindwa kuwachukulia hatua waliochukua Kiwira kinyemela, waliochukua pesa za EPA, imeshindwa kuwachukulia hatua wauza unga, imeshindwa kutaifisha mitambo ya kampuni hewa ya Dowans, imeshindwa kuwachukulia hatua waliofukia Watanzania kule Shinyanga, imeshindwa kuwachukulia hatua walioua watoto kule Tabora, imeshindwa kuwachukulia hatua askari walioua raia kule Arusha na sasa Mbeya bado tuendelee kuiamini na hizi hadithi za Pwagu na Pwaguzi? Be serious kuna jambo hapa wameshikwa pabaya wanatafuta njia ya kuchota fedha za walipa kodi.
 
@mdondoaji

Mtazamo wako wewe ni kutatua tatizo tau moja kutengenza matatizo lingine.

  • Hivi serikali inaweza kushindwa kufanya auditing wizara yake vizuri lakini iweze kufanya Auditing ya departmet zote za wizara hiyo hiyo
  • Alafu ebu fafanua na hiki kipimo cha umasikini kitakuwaje?
I thought wewe unayepinga pesa za serikali kwenda kweye taasisi binfsi za dini kuhudumia wagonjwa utasema serikali ijenge zake. Kumbe unasema iwagagawie fedha wagonjwa. Mbona hata watu wanaofanya fanya biashara ya afya watafuarhi ukiwa wewe ndiye waziri wa afya au rais wa nchi ukachukua maamuzi haya.

Unchopendekeza wewe uzuri wake ni huu

  • Mgonjwa atkuwa na uhuru zaidi wa kuchagua wapi aende kupatahuduma bora
  • Hopsitali zenye Mou na serikal sasa zitkuwa na hi y kupanga gharama mbali mbali bil ulzim wa kusharina na serikali.
Pendekezo lako ni zuri lakini serikali in genaral ndiyo itakayumia/ itayomumizwa zaidi kwa maamuzi haya ya kisiasa

Mkuu,

Hujanielewa kabisa mie sisemi maskini apewe hela mfukoni aende kujitibu bali mfano akienda kumuona daktari bili ya kumuona daktari halipi bali serikali ndio inalipa. Vile vile matibabu yake mfano madawa anaenda na cheti cha hospitali anapewa dawa jina lake linachukuliwa na serikali inakuja kulipa. Hakuna mtu anayepewa pesa ya mfukoni huo utakuwa uzembe wa hali ya juu.

Mie sipingi serikali isipeleke pesa katika taasisi za kidini tu peke yake bali hata za binafsi kwasababu subsidies zinatolewa kukiwa na economic hardship fulani. Katika sekta ya afya hakuna economic hardship kwani soko la wateja lipo (watanzania). Tena ni kubwa sana tu. Vile vile mazingira yanaruhusu. Isitoshe kuwapa pesa watu binafsi kunachochea ufisadi kwani ni ngumu kufuatilia hizo hela zimetumikaje na kwa vp. Matokeo yake ndio ile funika kombe mwanaharamu apite kwamba tunaamua kuacha kama yalivyo na kuendelea mbele huu ni ufisadi.

Kama unavyosema faida ya serikali kumlipia mgonjwa ni hivi:-
a. Mgonjwa ana uhuru wa kuchagua huduma wapi aipate.

b. Vile vile tunampunguzia mlalahoi gharama za maisha kwani mfano tukiweka benchmark ya watu wa chini ya Tshs 400,000 kwa mwezi ndio wanapata huduma ya bure ya afya basi tutakuwa tumempunguzia mzigo wa maisha mtanzania.

c. Tunaweza kuboresha afya ya watanzania kwani watanzania wengi majority income yao ni less than a dollar a day (i.e. US 365 a year). Kwahiyo afya bora inaweza kufanikiwa.

d. Ufuatiliaji ni rahisi kwani rekodi zipo RITA, zipo TRA, na kwengineko ambapo ni rahisi kujua wahusika wenyewe. Vile vile Wizara ya Afya ikianzisha maktaba ya watanzania kiafya kazi itakuwa rahisi zaidi kujua afya za watanzania.

e. Itapunguza mzigo wa serikali wa gharama kwani benchmark ya Tshs 400,000 serikali itakuwa imejipunguza mzigo wa kuboresha afya za watanzania. Watakaokuwa na pato zaidi ya Tshs 400,000 they can afford to buy an health insurance inayotolewa na NHIF na hivyo they shall be able to treat themselves through private health insurance fund such as NHIF, NSSF, PPF etc. Vile vile hospitali za private zikilipa kodi zinaongeza mapato ya serikali.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom