Noti Bandia za 10,000 zimezagaa

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
323
Jihadhalini na noti bandia za 10,000 zimezagaa mno. Inasemekana Benki ya CRDB Lumumba wamezigawa kwa wateja.
 
Nimepata habari wafanyakazi wa TSN (DailyNews/HabariLEO) wamelizwa kwa kupewa noti hizo.
 
Wadau, jee ATM za benki zote zina uwezo wa kuzitambua noti feki na kutozitoa kwa wateja?
 
Nadhani ndiyo Ari zaidi na kasi zaidi.sijui tunaenda wapi. Kwa hiyo zile tetesi kuwa pesa mpya ziliibiwa airport zinaanza kudhihirika kimamna!
 
Back
Top Bottom