Non profit organization establishment: Information needed.

Oct 22, 2010
78
0
Habari wapendwa. Nimehitimu chuo kikuu mwaka wa masomo uliopita katika chuo kikuu fulani hapa Tanzania. Bado sijaajiliwa lakini natamani sana kujiajili kama social enterpreneur kwa kuanzisha non profit organization ili kutatua matatizo mbalimbali ya kijamii yanayotuzunguka katika Tanzania. Tatizo langu sijui jinsi ya kuanza wala sina fund zitakazoniwezesha kujenga misingi ya organization hiyo. Kama kuna mwenye mchango wowote wa mawazo tafadhali anisaidie. Ahsanteni sana. Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom