Nokia N8 Internet

Kosmio

Senior Member
Apr 28, 2009
128
19
Jamani nawaombeni msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya ku connect Internet katika Nokia N8.

Nimewapigia Airtel na Zantel wote wanasema hawana settings za hiyo simu. Zantel wakanieleza nitume ujumbe wa hiyo model by SMS halafu nitajibiwa settings zake. Nikafanya as instructed majibu yakaja kuwa no settings za hiyo model.

Na imani jukwaa hili halishindwi kitu. Naomba msaada.
 
  1. Soma manual.
  2. Kama huna tembelea official website ya Nokia tafuta manual
 
kwa airtel
Nenda kwenye connectivity chagua destination halafua add access point.Kwenye access point andika internet
ur done, enjoy.
 
Original Mkuu. Made in Finland.

R u sure NOkia yako ni ya finland .????!!!!!Angalia usije ukawa umeuziwa kanyaboya. kwa label ya made in finland. Kwa suuply chain ya Nokia ilivyo hakuna Nokia original zinazkuja Tanzania au africa kutoka scandnavia.

Kama si China Nokia original zinazokuja Africa ni kutoka Hungary
 
Sikununua hapa. Nitaenda kwa Agents wa Nokia nasikia wapo Upanga wahakiki. Asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom