Naulizia Unlimited Bandle ya INTERNET

kirikuu19999

Member
Jul 8, 2018
86
121
Habari wana jukwaa naulizia gharama za unlimited internet kwa makampun ya sim mwenye anajua anijuze niliulizia Vodacom huduma kwa wateja wakaniambia hiyo huduma ipo ila unakua umefungiwa ka dish flan hv nyumban na wakaniambia unachagua speed 10MB/s ni Tsh 115,000/= na 20MB/s ni Tsh 165,000/= wakaniambia nitume location ili waweze kufanya survey bahata mbaya eneo nililopo huduma hiyo haipo nakafel hapo.

Hapa nilipo nipo karbu na Hospitali ila hospitali inatunia unlimited ya zantel wamewekewa na dish ila wanalipa 600,000 kwa mwez na mi naona ni sawa taasis kubwa kwa lak sita unlimited sawa Tigo kwa taasis kubwa najua hua ni laki 9 kwa mwez Tigo wana bei bei kidogo

sijui kuhusu TTCL, Airtel na Halotel na kwa upande wa Tigo na zantel najua gharama kwa Taasis kubwa kama Hospitali ila gharama za mim kama mm nkihitaj huduma hiyo sijui ni sh ngap mwenye anajua gharama individual za makampuni haya ya sim unlimited internet kwa mwez na gharama zake naomba anisaidie Vodacom najua hiyo mingne nisaidie wenye experience ili nione wap niende mi nacho taka yan Home based
 
Una account ya your freedom uliolipia uniuzie

hapana sina hiyo account ila inafanya kaz kwa TTCL tu voda skuiz inagoma ila kulipia mbona rahis unalipia kwa m-pesa ila inabagua sim kwa samsung ndo inafanya kaz vzr Tecno na infix hua inasumbua na gharama hua ni ndogo elf 10 miez mi tatu unlimited ndo uwe kwenye eneo zur TTCL inayo fanya kaz na uwe at least na samsung hapo haitosumbua sana
 
Asante mm nimeitumia kwa halotell kuna mda inakataa inarudi kula bando la kawaida ila ushanisanua ngoja niamie TTCL, voda hawataki utani wametumwa ela mjini
 
a
hapana sina hiyo account ila inafanya kaz kwa TTCL tu voda skuiz inagoma ila kulipia mbona rahis unalipia kwa m-pesa ila inabagua sim kwa samsung ndo inafanya kaz vzr Tecno na infix hua inasumbua na gharama hua ni ndogo elf 10 miez mi tatu unlimited ndo uwe kwenye eneo zur TTCL inayo fanya kaz na uwe at least na samsung hapo haitosumbua sana
your freedom ndio nn wadau mbona mm sijui ?
kwa TTCL nimesikia wana fiber na copper internet zote ni unlimited
 
Kuna jamaa kaniunganisha unlimited bando la TIGO ilikuwa liishe siku nne lkn Leo siku ya 8 ,hadi sasa nimetumia GB 72

Nilimpa 2000 kishkaji kuna code anaingiza zijazijua Bado maana alikuwa anajificha nisione
 
tupe details, lina spidi?
 
tupe details, lina spidi?
Spidi ni Ile Ile ya simu/laini yako coz inakuwa kama tu umeweka bando (lkn ukiangalia salio bando halionekani ) kwahiyo kama laini yako inasomaga MB 2 per second ndio itakuwa hivyo hivyo.

*Nimesikia kwamba hii offer ya boss mpya wa TIGO sio utundu wa ma IT
 
Jiunge na connect 16
Wanakupa device bure, malipo ni 70 kwa 10mbps
 
hapana sina hiyo account ila inafanya kaz kwa TTCL tu voda skuiz inagoma ila kulipia mbona rahis unalipia kwa m-pesa ila inabagua sim kwa samsung ndo inafanya kaz vzr Tecno na infix hua inasumbua na gharama hua ni ndogo elf 10 miez mi tatu unlimited ndo uwe kwenye eneo zur TTCL inayo fanya kaz na uwe at least na samsung hapo haitosumbua sana
Mkuu mimi natumia Sony xperia, Your freedom inafanya kazi vizuri ila changamoto hai connect full time, yani utakuta kuna mdaa inakaa hadi dakika 10 inagoma kabisa,
Nataka nikuulize unatumia server zipi mana mimi natumia za turkey?
na kama ushawahi kulipia kile cha ku connect na pc, speed inakuaje?
Nishawahi tumia server za german ila nazo naona inazingua kabisa yani.
 
Naona unataka kumpiga mtu na kitu kizito kichwani..
Wadau wakijichanganya tu, wameliwa
Hakuna anaye pigwa hapa na Sina huo muda hii ni offer mpya ya tigo kama haujui ,Mimi niliungwa tu na jamaa yangu mwanzo nilidhani anafanya utundu lkn saizi nimegundua ni offer tu imetolewa na bosi mpya wa tigo
 
mmh ngumu kumeza, milele na milele Tigo hawawezi kukupa hata GB 5 kwa Tsh 2000! wewe Hizo 72 ni ukakasi mzito.

Anyway onyesha ushahidi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom