KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Wakuu mambo vp? Niko hapa kuwauliza wataalamu wa simu kati ya hizo hapo juu ipi ni bora kuliko nyingine na kwa kuhusu bei Nokia inauzwaje na Samung inauzwaje?
kaka yani hii sio a fair competition at all Samsung iko kwenye another level kama unacompare corolla na Lamborghini
Kubari ukatae hakunaga kama Nokia ndo simu bora na nirahisi kutumia kwa mtu yeyote yule