Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Wanajukwaa, salaam!!!
Ni mwezi mmoja sasa tangu ninunue simu aina ya NOKIA E5-00 (brand new). Kwa bahati mbaya, kitabu cha maelekezo nilikipoteza.
Tangu kununua simu hii nimekuwa nikijaribu kuitumia kwa huduma ya internet (browsing), lakini imekuwa ikigoma, though nimejiunga/nimeisajili ili niweze ku-access internet.
Lakini kila ninapoanza ku-surf, baada ya kuweka website ninayoitaka, let say www.jamiiforums.com, imekuwa ikiniletea ujumbe unsupported scripts in contents na ninapo-click ok unatokea ujumbe unaosema insufficient memory.
Meseji hizo zimekuwa zikitokea hata ninapokuwa ninapokea picha au nyimbo kwa njia ya bluetooth.
Naombeni msaada.