NO VPN: TCRA imedhamiria kutunza na kulinda maadili ya Mtanzania

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,522
Hii ni taarifa nzuri kwa wale wote wanaopenda kuona maadili ya Watanzania yanabaki kuwa ni maadili mema kwa maana kizazi kilichopo na kijacho kinaishi katika misingi mema yenye tija kwa mtu binafsi na Taifa in General.

Ni uzuni na mateso kwa wapenda vitu flani kwenye mitandao the good things ni kuwa maamuzi yenye malengo mazuri yanapotolewa hayaangalii ni nani ataumia.

No VPN the only way kusurvive kwa wale wapenda vitu flani ni kucope na vile TCRA wanavyotaka maana kuna Rungu linakuja huko Telegram yaani mpaka mseme.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
 
VPN, virtual private network matumizi yake or alieanzisha lengo lake ni Kwa ajili ya security kwakua data zake zinakua zinafichwa aka encrypted hivyo anything in between huwezi ona what is inside.ni sawa na ukivaa nguo ukaenda tembea and usivae nguo na ukatembee.

Sasa bila vpn hapa watakamatwa wengi sn maana TIX imekua directed kwao.

Ngoja niishie hapa nitawaumbua wengi nakuharibu zaidi.ila tambua data zako zipo uchi without vpn
 
Vigodoro bado vipo, wakina diamond wanaimba matusi kila siku, nyimbo za singeli zilizokosa maadili ziko kila mahali, sijasikia wakipigwa marufuku. Acha uongo sababu ya VPN kuondolewa ni kwa sababu wameona inaanza kupunguza faida ya makampuni ya simu kwenye data. full stop
 
Ukiona hivyo ujue Kuna kitu kinaandaliwa Maana Walifungia Clubhouse Wajanja wakatumia VPN na Kama kawaida vitu vikaendelea, ukiona hivyo ujue wanapanga kufungia Twitter,Whatsapp na social network hizi ili wapate matokeo mazuri ya uchaguzi kusiww na majumuisho ya Watu.
 
Kwan x si ziliisha fungiwaga? Mimi nina imani sio wote wanao tumia vpn wana nia mbaya.

Wateja wa mange na app yake ya kijinga piga ban, ka mange lazima kakonde. Hii taarifa ni nzuri.
 
Back
Top Bottom