No more Facebook on 5 November 2011

Wat i mean ni kwamba FACEBUKU is Useless unless uwe unatangaza biashara zako... utakuta mtu ana post gudmorning watu wana like na ku comment...kesho yake kichwa kinauma anapost so kwa mwaka.... shit after shit...anyway ni my own opinion

Hao jamaa wamechemsha kutangaza tarehe hii itawafanya facebook kujiandaa kupambana nao

Wat i mean ni kwamba FACEBUKU is Useless unless uwe unatangaza biashara zako... utakuta mtu ana post gudmorning watu wana like na ku comment...kesho yake kichwa kinauma anapost so kwa mwaka.... shit after shit...anyway ni my own opinion

ona hii dunia ilivo kuna wenye mawazo ya kujenga na mawazo ya kubomoa. Maybe cheki history ya creator ya facebook mrusi mwenye asili ya kiyahudi ni nani? Usifkiri anonymous wana own internet ni misifa tuuuuuu.......... Watakua wametumwa na myspace rival wakubwa wa fb

Hawa watu wa Hacking mbona wabaya namna hii? wanatak kutuharibia Uhondo wetu wa chat duniani? Ahhhhh hawana kazi yoyote ya kufanya kazi ya kubwa kuharibu Starehe za Watu wengine?

facebook watumie mbinu za kijeshi...ikikaribia muda huo wanaweka server chini wanaacha ujumbe 'system under maintanance...we will be back soon'. Muda huo ukipita system inarudi live!

ona hii dunia ilivo kuna wenye mawazo ya kujenga na mawazo ya kubomoa. Maybe cheki history ya creator ya facebook mrusi mwenye asili ya kiyahudi ni nani? Usifkiri anonymous wana own internet ni misifa tuuuuuu.......... Watakua wametumwa na myspace rival wakubwa wa fb

Hahahaa! anonimous unawafahamu lakn kaka? wait and c!

Afadhali nilikuwa nagawa muda wangu fb na jf sasa nitaonekana sana jf, hureee wape bigup hao jamaa

lisemwalo lipo mkuu ngoja tusubirie!! wamejiamini nini hadi kutangaza siku na saa?!!cjui watafanyeje wenzao walishindwa

Wanachoweza labda ni kuindoa hewani kwa muda mchache ila kuifunga haiwezekani kwa sababu mbili
1.Facebook wenyewe wanaajiri hackers, kwa mfano George Francis Hotz aka Geohot aliye-jaibreak iPhone (Blackra1n na Blacksn0w) na PS3 sasa ni muajiriwa wa Facebook.

2. Hardware Facilities kama vile data centre hackers wataweza kuihack lakini hawataweza kuiteka nyara. Hivyo Facebook wataweza tu kui-reinstate

Therefore it will be very much a temporary thing, if at all it will happen.

Kaka MySpace wako hoi sasa hivi inauzwa bei ya kutupa.

News corporation reveals $254m loss on sale of myspace- The Inquirer

kama nlisoma justin timberlake ameinunua?!

Kaka MySpace wako hoi sasa hivi inauzwa bei ya kutupa.

News corporation reveals $254m loss on sale of myspace- The Inquirer

haa! Millah usiniambie? Duh! Mi naipenda myspace coz inaniunganisha na wasanii. Watanimaliza hapo.

kerere za chura huishia majini.mtoto akibanwa mavi.......techngy is techngy.wanasell info kuongeza kipato.eti nyie hamjui.tafuta movie inaitwa social networking uchek hw facebk came out and be in highest market level.

Back
Top Bottom