Naahidi inshallah itaendelea sehemu nyingine wiki ijayo; wapi itaendelea sijajua bado lakini nitaangalia hata kama ni kuendelea hapa..
Umesahau kwamba Mzee mwanakijiji ni mwana falsafa......kama utakumbuka mafunzo ya awali katika kiswahili kwa mfano ulipokuwa unasoma kitabu cha "kuli". Yeye (mwanakijiji ) nia yake ni kufikisha ujumbe kwa walengwa. Kwa hiyo ndoto usiitafsiri kama ndoto..