Njoo tutengeneze ajira za walimu hapa

Habari wana Jf!
Nahitaji vijana sita wenye taaluma mbalimbali,nawenye mitaji.
Lengo na madhumuni ilituunganishe mitaji yetu kwalengo lakuanzisha taasisi ya kutoa Elimu kwa wanafunzi wakitanzania wenyekiu na ndoto za kujiendeleza kimasomo kwa ngazi ya
QT 1YR, FORM4,1yr, na 5&6 1yr.kituo hili kitakuwa kama tuition center lakini kitafuata taratibu na maadili yote yashule.
Na wanafunzi watavaa uniform husika kwa wale waasubuhi.
Hapa tutaweza kuajiri WALIMU wengi kulingana na idadi ya wanafunzi watakao kuwepo.

Wanafunzi watatafutiwa center zakufanyia mitihani ,mfano mwanza center n.k.
Mikakati zaidi itapangika baada ya kupatikana vijana wakuweza kuunganisha mitaji ,sio vijana tu hata wazee luksa.
Kuwaserious hapa hakuna utapeli .
Karibuni kwa MAWAZO yenu.

AKIHITAJIKA NGULI WA FASIHI YA KISWAHILI
NA KIINGEREZA NIITENI FASTA.

NAIDUFUA FASIHI HADI AKINA PROFESA MULOKOZI, KAHIGI, SENGO, KIANGO NA KEZILAHABI WANANIPIGIA SALUTI.

Hivi mbona watu nyie mnajitoa ajili kwanini wakati mtoa made kasema muunganike na kumuwezesha ili
 
Habari wana Jf!
Nahitaji vijana sita wenye taaluma mbalimbali,nawenye mitaji.
Lengo na madhumuni ilituunganishe mitaji yetu kwalengo lakuanzisha taasisi ya kutoa Elimu kwa wanafunzi wakitanzania wenyekiu na ndoto za kujiendeleza kimasomo kwa ngazi ya
QT 1YR, FORM4,1yr, na 5&6 1yr.kituo hili kitakuwa kama tuition center lakini kitafuata taratibu na maadili yote yashule.
Na wanafunzi watavaa uniform husika kwa wale waasubuhi.
Hapa tutaweza kuajiri WALIMU wengi kulingana na idadi ya wanafunzi watakao kuwepo.

Wanafunzi watatafutiwa center zakufanyia mitihani ,mfano mwanza center n.k.
Mikakati zaidi itapangika baada ya kupatikana vijana wakuweza kuunganisha mitaji ,sio vijana tu hata wazee luksa.
Kuwaserious hapa hakuna utapeli .
Karibuni kwa MAWAZO yenu.
Fafanua kuhusu hiyo mitaji,
Weka wazi mchanganuo wa hiyo project japo kwa summary!
Nijuavyo mimi mtaji mkubwa ni wazo,
Unaofuata ni utaalamu,
Then mtaji vitu kama vile pesa, ardhi, vifaa vya kazi etc.
Mimi sio kijana, naelekea kwenye uzee na niliwahi kuwa na ndoto ya kubadilisha elimu ya Bongo, badala ya kuitwa primary education, ndoto yangu ilikuwa ni kutoa basic education ambayo itagusa nyanja zifuatazo kwa kila level.
1. Education
2. Understanding
3. Skills
4. Attributes
Hizi ndizo nyanja kuu za Basic education, ambapo kwenye primary education wao wanadela na KKK
 
Back
Top Bottom