Njoo tutengeneze ajira za walimu hapa

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
904
526
Habari wana Jf!
Nahitaji vijana sita wenye taaluma mbalimbali,nawenye mitaji.
Lengo na madhumuni ilituunganishe mitaji yetu kwalengo lakuanzisha taasisi ya kutoa Elimu kwa wanafunzi wakitanzania wenyekiu na ndoto za kujiendeleza kimasomo kwa ngazi ya
QT 1YR, FORM4,1yr, na 5&6 1yr.kituo hili kitakuwa kama tuition center lakini kitafuata taratibu na maadili yote yashule.
Na wanafunzi watavaa uniform husika kwa wale waasubuhi.
Hapa tutaweza kuajiri WALIMU wengi kulingana na idadi ya wanafunzi watakao kuwepo.

Wanafunzi watatafutiwa center zakufanyia mitihani ,mfano mwanza center n.k.
Mikakati zaidi itapangika baada ya kupatikana vijana wakuweza kuunganisha mitaji ,sio vijana tu hata wazee luksa.
Kuwaserious hapa hakuna utapeli .
Karibuni kwa MAWAZO yenu.
 
Mzee wazo zuri...ila mbona umegusia hiyo issue juujuuu tu..Nafikiri ukitoa mchanganuo kama wenye mitaji kuanzia bei gani! Mkoa gani kazi itafanyikia! Wengi tutaona upo serious na ulijipanga then tutakuja
 
Unaweza
Mzee wazo zuri...ila mbona umegusia hiyo issue juujuuu tu..Nafikiri ukitoa mchanganuo kama wenye mitaji kuanzia bei gani! Mkoa gani kazi itafanyikia! Wengi tutaona upo serious na ulijipanga then tutakuja[/QUOT


Kama upo Mwanza unaweza ukatembelea kituo kimoja kinaitwa mwanza expert,ukafanya kama kutalii pale ,utanielewa ninacho maananisha.
 
Back
Top Bottom