Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Kwa kweli ndugu zangu EMT, HANDBOY NA PAULO mmenipa ushauri wa maana sana ambao umenifanya nione kama ndo nimeshaacha kabisa, nawashukuruni sana wakubwa na naahidi kuyatekeleza yote nliyoelezwa.

All the best. Please ukifanikiwa tupe feedback. Itasaidia wengine pia.
 
mimi ni kijana na hakika ninahamu ya kuacha ulevi kabisa maana inanikera na kunimalizia hela sana...nahitaji msaada wenu niweze kuondokana na huu ulevi.asante
 
Ukiwa unatumia akli utaweza kuwacha ulevi, sababu ulevi ni ujinga na mtu mwenye akili hanunui ujinga ananunua elimu au vitu vya manufaa kwake na watoto zake.

Pesa unazo nunulia ulevi ukisave unaweza kujikuta umenunua kiwanja, na ukajikuta umeisha kuwa nazo za kujenga nyumba :biggrin:
 
tumia pesa zote zikiisha utaacha kunywa coz hautakuwa na pesa tena za kununulia bia
 
Ukiamua kuacha huo ulevi utaacha tuu. unaamua kutoka moyoni kuanzia leo mimi pombe sinywi tena nina uhakika hutokunywa tena sema bado hujaamua tuu.
 
amua sasa kuwa committed kwa Mungu thru YESU. utapata mabadiliko kwa kipidi kifupi. kiu yote itapotea.utamfurahia mwokozi wako.
 
Its to do with they way we use our minds...engage your mind in an activity that will keep you busy. It could be exercising, reading, charity works etc.
Life is all about displine...You can achieve anything if you condition yourself to achieving it
 
inategemea umefikia stage gani ya ulevi, kuna mahali ukifikia unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Sio kitu rahisi lakini kama umeamua utaacha, umeshawahi sikia 'AA'(alcoholic anynoni.....?
Nadhani kwa Dar wanakutana pale St. Peter kanisani, mwone paroko atakusaidia haina malipo na wanapokea dini zote.
 
KIDHEHA, umechagua lililo jema sio kila mtu anatakiwa kunywa pombe hasa inapoanza kuathiri maisha yako aidha kipato au mahusiano na watu wanaokuzunguka.

Kutambua tatizo tu ni mwanzo mzuri wa suluhisho.

Kaza buti.
 
Last edited by a moderator:
Ulevi unasababishwa na nguvu za giza.Ni mapepo yanayokusumbua ndugu yangu.Kwa hiyo msaada wako uko kwa Yesu tu.Nenda kwenye kanisa linalomwabudu Mungu wa kweli,maana makanisa ya kitapeli siku hizi ni mengi sana,utubu dhambi zako ukimaanisha kuziacha,halafu umpokee Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.QUOTE=KIDHEHA;3921078]mimi ni kijana na hakika ninahamu ya kuacha ulevi kabisa maana inanikera na kunimalizia hela sana...nahitaji msaada wenu niweze kuondokana na huu ulevi.asante[/QUOTE]
 
Ukiwa unatumia akli utaweza kuwacha ulevi, sababu ulevi ni ujinga na mtu mwenye akili hanunui ujinga ananunua elimu au vitu vya manufaa kwake na watoto zake.

Pesa unazo nunulia ulevi ukisave unaweza kujikuta umenunua kiwanja, na ukajikuta umeisha kuwa nazo za kujenga

nyumba :biggrin:

fazaaa kakwambia nani kuwa walevi wote hawana viwanja na nyumba pia,kwa taarifa yako deals zote kwa sisi walevi zinaanzia bar,unaweza ukawa sio mlevi wa pombe ukawa na ulevi wako mwingine wa kupenda kuhonga wanawake,kipi bora?kunnywa bia 3 kwa afya au wewe kuhonga laki kwa mala.ya?
 
Sijasema walevi wote hawana viwanja au nyumba, lakini ni wajinga we kubali tu.

Mtu anaye lewa hakuna faida anayo pata, hebu nipe faida ya ulevi....Ukiweza kunipa faida ya ulevi tajua wewe sio mjinga :biggrin:
 
Hajasema yeye ni mwelevu ndio maana anaomba msaada knowing madhara anayopata. Mbali ya hayo ulevi ni ugonjwa....ulevi na unywaji pombe ni vitu tofauti
 
Ukiwa unatumia akli utaweza kuwacha ulevi, sababu ulevi ni ujinga na mtu mwenye akili hanunui ujinga ananunua elimu au vitu vya manufaa kwake na watoto zake.

Pesa unazo nunulia ulevi ukisave unaweza kujikuta umenunua kiwanja, na ukajikuta umeisha kuwa nazo za kujenga nyumba :biggrin:

aliekuambia hela ya bia unaweza kununulia kiwanja nani?labda kiwe kinauza elfu hamsini wewe toa ushauri ulioombwa na sio kuanza kutoa assumptions zisizokua na maana
 
Back
Top Bottom