Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,412
- 4,559
1. Ukitoka ofisini nenda kwenye ibada za jioni
2. Acha uwizi kazini kwani hela unazotumia kunywa ni zile unazozipata kwa deal
3. Ji commit na majukumu makubwa ya kimaendeleo hutakuwa na surplus
4. Jiendeleze kielimu hivyo utatumia muda mwingi kusoma
Kama hayo hayatoshi sema nikuongezee dozi - kwaheri nawahi kibaruani
Hii nimeikubali ni dawa.
Asante sana kwa hili.
Thank you very much