Njia ya uzazi.

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
MAMA MKWE>Binti samahani sana,Ukweli hasa huyu mtoto hafanani kabisa na mwanangu(Baba yake mtoto).
BINTI> Mama bila samahani,mimi huku chini nina njia ya uzazi na sio Machine ya photo copy.
:shut-mouth:
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie aahhhh nimecheka kwa nguvu
 
na akome! kwani watoto lazima wafanane na baba zao? kuna mama, mjomba, shangazi nk nk nk..!
 
MAMA MKWE>Binti samahani sana,Ukweli hasa huyu mtoto hafanani kabisa na mwanangu(Baba yake mtoto).
BINTI> Mama bila samahani,mimi huku chini nina njia ya uzazi na sio Machine ya photo copy.
:shut-mouth:

Du! Mamkwe kapewa za uso
 
Back
Top Bottom