Inachukua muda gani hadi njia ya uzazi kufunguka?

Habari wakuu,

Niko hospital kumleta mjamzito kaskia Hali ya uchungu...watu wakuzalisha wamemchek wanasema njia ya uzazi ndo inaanza kufunguka, nauliza inachukua mda gani njia ya uzazi kufunguka kabisa

Huo muda ulioambiwa njia inaanza kufunguka angalia muda then ikishafunguka angalia muda hitimisha kwa kutujulisha kuwa katumia muda gani?

Sio kutuliza maswali ambayo majibu yake unayo hapo!
 
Habari wakuu,

Niko hospital kumleta mjamzito kaskia Hali ya uchungu...watu wakuzalisha wamemchek wanasema njia ya uzazi ndo inaanza kufunguka, nauliza inachukua mda gani njia ya uzazi kufunguka kabisa
Malembeka unaharaka unataka kwenda wapi?
 
Wanangu watatu wa mwisho wamezaliwa usiku ambao soon nmetoka kumpeleka Moto mzito wife wangu.

1. Mapacha wangu walizaliwa saa 10 alfajiri ambapo saa 7 usiku huo huo tulitoka kufny mapenz, saa 9 wife kaniamsha anajihis tumbo linauma anajihs kwenda toilet,

kaenda chooni kanambia maji maji yanatoka, nkajua chupa imepasuka. Nmempeleka hospital chap, kafika anaunganisha Hadi leba wodi.

Nusu saa nyingi naitwa mkeo keshajigfungai tayar watoto mapacha

2. Mwaka juz wife tumbo kubwa balaa, show imetukolea tuko doggy style, mara wife analalamika anaumia nistop kwanza, mi gar tayar ishawaka ata simwelewi, nakimbiza Moto balaa.

Nmechomoa ili nimbadili style nashangaa kichwa Kama kina dam damu, moyo ukastuka, nae kainuka ghafla naona matone madgo madg ya damu yakaanza kumchuruzika mapajan uku analalamika tumbo linamuuma balaa.

Moyoni nikajua apa nmeyakanyaga, nmeua kiumbe, nimpeleke hospital haraka Sana.

Nmefk nesi kumuangalia TU akaelekeza apelekwe leba moja kwa Moja, kapelekwa nikabak na nesi ananiulza nn kimetokea.

Ikabd nimwambie wazi kua limetokea katkat ya mechi, akanambia haina shida niwe tu na amani, mi hapo network hazisomi.

Hatujakaaa sn ata hata dkk 45 hazijapita naitwa kuambiwa hongera mkeo tayar keshajifungua mtoto wa kike, aisee ilkua Ni furaha iliyoje.

Nmeomba kwenda kumuona mtt, breki ya kwanza Nikaenda Kuangalia Kama ana damage yoyote popote mwilini, nikaangalia sioni kasoro Zaid ya weusi weusi juu ya paji la uso, Nikaambiwa Yuko salama salmini, huo weusi hauhusiani na show.

KIUKWEL NILIJISKIA FURAHA SANA, na WANANGU WOTE WAKO HAI MPK LEO
 
Hivi huyu Afisa Ubashiri mstaafu deeppond stori zake huwa ni za kweli?
Kama unabisha muulze daktar au mkunga mzoefu atakwambia nn namaanisha mkuu, tuachane na nadharia za vijiweni, wajawazito dawa yao Moto tu mpk siku anajifungua, wife nmezaa nae watoto 5 Sasa na wote wamezaliwa salama Bila upasuaji wala uchelewaji na mimba zote sjawahi kuacha kupeleka Moto
 
Njia ipo centimeter ngap saiv,
Wakati tunafika saa nne usiku ilikua centimeter3 baada masaa matano ikaongezeka centemeter1 zikawa 4 Hadi saa hii sakumi namoja asubuh hajapimwa Tena kutoa na njia Iko centimeter ngap..Yuko anafanya mazoezi yakutembea tembea na ameyaanza tangu tunafika saa nne usiku
 
Pole Mkuu,watu ni tofauti,wanafaa kumsaidia kama njia haiongezeki,watu ni tofauti,akipimwa ionekane haifunguki wanahitajika ku intervene.
 
Pole Mkuu,watu ni tofauti,wanafaa kumsaidia kama njia haiongezeki,watu ni tofauti,akipimwa ionekane haifunguki wanahitajika ku intervene.
Kuintervene ndio kufanyaje...maana tuko kwenye hospital za kawaida za wilayani Mikoani
 
Back
Top Bottom