Njia ya mkojo inawasha

Wana Jf naomba kupatiwa dawa ya kuwashwa katika njia ya mkojo, yaani kuisi kuwashwa njia nzima kwa ndani kuanzia chini kabisa, nadhani kwa wanaume mnaifahamu njia nzima ya mkojo, hii kitu imeanza Jana baada kumaliza kukojoa mpaka sasa. Mwenye Kujua dawa tafadhali.
 
Sema ukweli, umecheza mechi ya ugenini bila kinga,nenda hospital utapewa antibiotic kama doxy na ciplo ndio dawa yake ukichelewa utaanza kutoa usaha.lazima ulikutana na mwanamke mwenye gono.
 
Kaka kiukweli cjacheza nJe cup, ingawa wife alikuwa anasumbuliwa na U.T.I baada ya kuchangia vyoo vya kazini kwake
 
Hiyo itakuwa ni u.t.i inakunyemelea...kunywa maji kwa wingi atleast lita 3-5 kwa muda wa siku 3 utaona kama inaendelea niambie nikubadilishie dozi...ugua pole mgonjwa
 
Kama kuna mtu anajua tatizo ni nini naomba anisaidie japo kwa muhitasar..nina washwa kwenye njia ya mkojo.cyo sana ila kuna muwasho..mie ni (me)miaka 29.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom