Njia ya mkojo inawasha

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,744
Wadau nina hili tatizo la kuwashwa njia ya mkojo. Pia wakati wa kukojoa nina maumivu wakati fulani. Nielekezeni kwa urologist mzuri tafadhali
 
pole kwa tatizo!!!usikate tamaa endelea kuwaona doctors tofauti will help u!!!
so km hujado long time unatakaje?
 
POLE SANA......! (nami nime-edit ili kuondoa hoja ya mwanzo....editing hii si nzuri kwani inamfanya mchangiaji aonekane juha)
 
Hebu eleza kwa kina una washwa wakati gani baada ya kunywa maji, usiku, asubuhi au mchana na unawashwa unapomalizia kukojoa tone la mwisho na je ni maumivu makali au ya kawaida? Hii inaelekea una dalili za prostate cancer! na je umri wako ni kiasi gani?
 
Mfunyukuzi!! Usimtishe mwenzio,ushauri uliompa ni mzuri akinywa sana maji anaweza pia kukojoa sana,na hivyo kuiflash njia ya mkojo kitu ambacho kinaweza kumsaidia pia,lakini,bado hajafikia kuwaza urologist kwani yawezekana ni UTI ambayo can be solved kwa gharama ndogo tena bila hata delay ya appointment kwa urologist. Prostate cancer ni abit complicated,age,normaly above 50 with few exceptions below that age,kuna urine retention pia kama one of the signs na tabu nyingi tu.Akapime mkojo ajue kuna nini
 
Pia mkuu angalia isikute unafanya masterbation na unatumia sabuni za mbuni/khanga ikiingia inamadhara kama hayo
 
Mfunyukuzi!! Usimtishe mwenzio,ushauri uliompa ni mzuri akinywa sana maji anaweza pia kukojoa sana,na hivyo kuiflash njia ya mkojo kitu ambacho kinaweza kumsaidia pia,lakini,bado hajafikia kuwaza urologist kwani yawezekana ni UTI ambayo can be solved kwa gharama ndogo tena bila hata delay ya appointment kwa urologist. Prostate cancer ni abit complicated,age,normaly above 50 with few exceptions below that age,kuna urine retention pia kama one of the signs na tabu nyingi tu.Akapime mkojo ajue kuna nini

Asiogope sana kwani Prostate Cancer inatibika na hata huo muwasho unatibika pia. Nashauri atutumie food supplement aina ya Omega 3, Nature Min na juice ya Aloe vera aina ya Berry Necta. Kwa msaada zaidi waliana nami byongje@gmail.com
 
wadau nina hili tatizo la kuwashwa njia ya mkojo. Pia wakati wa kukojoa nina maumivu wakati fulani. Nielekezeni kwa urologist mzuri tafadhali

mkuu nenda hopspital hapa utapata waganga wa kienyeji tupu
watakueleza nini cha kufanya ukipata matokeo kuna mawili yawezekana\gono/kisonono/ila ungeweka imechukua muda gani kujua na kuwa nao maana gono aidanganyi...live usaa 2days kama imekupendelea ukikutwa hiyo piga sindano moja wanajua wenyewe basiiiiiiiii
 
Hebu eleza kwa kina una washwa wakati gani baada ya kunywa maji, usiku, asubuhi au mchana na unawashwa unapomalizia kukojoa tone la mwisho na je ni maumivu makali au ya kawaida? Hii inaelekea una dalili za prostate cancer! na je umri wako ni kiasi gani?
mkuu zaidi ni mwasho nyakati fulani. Pia mkojo huuma kwa mbali nyakati fulani pia. Mfano muda huu shwaari. Pia tone la mwisho halina athari yoyote. Umri ni earl 30s.
 
Asiogope sana kwani Prostate Cancer inatibika na hata huo muwasho unatibika pia. Nashauri atutumie food supplement aina ya Omega 3, Nature Min na juice ya Aloe vera aina ya Berry Necta. Kwa msaada zaidi waliana nami byongje@gmail.com

sitaki kufikiria hiyo kansa kwani kwa mujibu wa yule dk mhanga wa 50+, umri ni kigezo muhimu. Nitakucheki kwenye PM mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom