Njia panda : Should i really wait???

Ikiwa imebakia wiki moja kwenda ukweni kujitambulisha na kutoa mahari, mtarajiwa anadai tupostpone our wedding mpaka amalizane na shule kwanza maana she cant handle the strees of finnishing college and wedding preparations..nimeudhika, i am thinking about calling the whole thing off, and move on to the next one..


Taratibu Mkuu!!! Hasira hasara!!!...Kaa na mwenzio muongee kuahirisha huku hadi lini? labda tofauti kati yenu ni miezi michache tu. Shule ngumu Mkuu anatakiwa ajipinde ili afanye vizuri sasa ukiweka tena na maandalizi ya harusi na maandalizi ya mitihani sambamba basi utampa wakati mgumu....Kumbuka mvumilivu....lakini hapo kwenye rangi ni aje? unao wachumba wangapi?
 
why now did she knew the pln before? anyway were you pushing her into it? or you compromised between you in a lovely manner? if yes somthing is very wrong tena keep ur eyes on. If no then you deserve wht she has said.
 
ebwana ipo hv wanawake ni viumbe wa ajabu cna mi nina uhakika hujamshi2kiza afu Pia kama mwanamke anakupenda hzo ni habar njema hawez kufail mtihan kwa kitendo hcho cha cku 1,she has nothn 2 loose sana sana wewe anataka aku2mie akimkosa anayempenda zaid ndipo arud kwako,we kimya kimya tafuta Mwingne oa shaur lake wewe una father na Maza ako ndio wakupe stres sio m2 wa njian Man
 
Kaka subr kdg kwan alokwmbia uyo dada yanaingia akilini coz atakua hana raha ya ndoa yke uku na stress za mitihan ukizngatia n mda mdg 2 ulobaki.km unampnda na kumjal bac utampa mda.lkn maneno yko ya mwsho nna doubt nayo.coz huwez kumuacha unaempnd kirahc kiivo regarding mmeshafkia hatua ya kileleni..FIKIRI NDPO...
 
he! jaribu kuzungumza nae , pole sana ,usifanye maamuzi ya haraka bcz unajua ukimpenda mtu ,na ukachukua maamuzi ya haraka baadae ukaja kujuta ,iknw is hard but take more time kuzungumza nae ukiona namna gani vip tena uta move on
 
Back
Top Bottom