Njia niitumiayo kubalansi shobo imenifanya niwe mpweke sana, naumia!

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,827
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,

Nina jambo linalonisumbua kwa muda mrefu sana, kiukweli nimebaki na msimamo japo naumia moyo nishaurini jamani.

Mimi nina tatizo Moja ikitokea nipo kwenye mahusiano, yaani mpenzi wangu ikiwa mimi ndio mtu wa kupiga simu tu Kila wakati na nisipomtafuta ye hanitafuti hata siku mbili jua hapo lazima niachane nae.

Hua namuacha mwanamke hata kama nampenda, pia nilimtumia nauli pia uanze kuleta visingizio vya kutokuja ujue hio nitolee.

Hua napenda mtu tunaeendana kwa kupigiana simu na kuthaminiana.

Pia hua nachukia kama mwanamke una kipato unakua na njaa za ajabu ajabu kuomba 10000 aisee nakushusha thamani.

Hua napenda mwanamke ambae ataniomba kitu cha maana kwa mfano unaweza niambia naomba milioni 2 ili niboreshe biashara yg ndio kitu napenda, sipendi njaa njaa.
 
Habari zenu wakubwa kwa wadogo

Nina jambo linalonisumbua kwa muda mlefu sana , kiukweli nimebaki na msimamo japo naumia moyo nishaurini jamani

Mimi Nina tatizo Moja ikitokea nipo kwenye mahusiano, yaani mpenzi wg ikiwa mimi ndio mtu wa kupiga simu tu Kila wakati na nisipomtafuta ye hanitafuti hata siku mbili jua hapo lazima niachane nae

Hua namuacha mwanamke hata kama nampenda ,pia nilimtumia nauli pia uanze kuleta visingizio vya kutokuja ujue hio nitoleee

Hua napenda mtu tunaeendana kwa kupigiana simu na kuthaminiana

Pia hua nachukia kama mwanamke una kipato unakua na njaa za ajabu ajabu kuomba 10000 aisee nakushusha thamani

Hua napenda mwanamke ambae ataniomba kitu Cha maana kwa mfano unaweza niambia naomba milioni 2 ili niboreshe biashara yg ndio kitu napenda, sipendi njaa njaa
Utawapata wengi

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Sasa aizee tafuta hela ukiombwa elfu kumi usilalamike brother.
Unamtumia dada wa watu hovyo hata kwa matumizi hatari unalalamika ukiombwa elfu kumi

Tuseme unampa na UTI sugu baba yake ampeleke hospitali wakati wew ndio umempelekea moto
Kuhonga nahonga tu Tena ni pesa ndefuu ila isiwe kinjaa njaaa niombe kitu Cha maana baada ya hapo unipe gape ndio uniombe tena
 
Habari zenu wakubwa kwa wadogo

Nina jambo linalonisumbua kwa muda mlefu sana , kiukweli nimebaki na msimamo japo naumia moyo nishaurini jamani

Mimi Nina tatizo Moja ikitokea nipo kwenye mahusiano, yaani mpenzi wg ikiwa mimi ndio mtu wa kupiga simu tu Kila wakati na nisipomtafuta ye hanitafuti hata siku mbili jua hapo lazima niachane nae

Hua namuacha mwanamke hata kama nampenda ,pia nilimtumia nauli pia uanze kuleta visingizio vya kutokuja ujue hio nitoleee

Hua napenda mtu tunaeendana kwa kupigiana simu na kuthaminiana

Pia hua nachukia kama mwanamke una kipato unakua na njaa za ajabu ajabu kuomba 10000 aisee nakushusha thamani

Hua napenda mwanamke ambae ataniomba kitu Cha maana kwa mfano unaweza niambia naomba milioni 2 ili niboreshe biashara yg ndio kitu napenda, sipendi njaa njaa
Acha uongo huwezi ukawa na uwezo wa kutoa 2mil halafu hawa watu wasikutafute huo ni uongo mzee.

Hawa madem wakikunusa tu kama unazo aisee utawakimbia ww. Ila ww ni hauna ila sema hili ni tangazo sawa
 
Kuhonga nahonga tu Tena ni pesa ndefuu ila isiwe kinjaa njaaa niombe kitu Cha maana baada ya hapo unipe gape ndio uniombe tena
mzee acha ubahili wewe unamtumia mara moja moja

unataka mwanamke mzuri na wewe humgharamii anapendez tu siku ukisalitiwa unalalamika. Unafikiri nani anagharamia?
 
Unless sijaelewa...
Unapenda kuombwa milioni 2 lakini hutaki kuombwa elfu kumi?
Sasa hapo ukiombwa elfu kumi si ndo tuma laki 2 ili mhusika aelewe hupendi kuombwa hela ndogo?

Kwanza kama unaweza mpa milioni 2 si Bora utumie hata laki 3 bila kuombwa?..

Anakuomba elfu kumi kaona uwezo wako uko hapo na wewe onesha uwezo wako ulipo ...tuma ya uwezo wako
 
Acha uongo huwezi ukawa na uwezo wa kutoa 2mil halafu hawa watu wasikutafute huo ni uongo mzee.

Hawa madem wakikunusa tu kama unazo aisee utawakimbia ww. Ila ww ni hauna ila sema hili ni tangazo sawa
Kumbe hujui demu njaa njaa ,Kuna mmoja tulikula starehe Hadi kuchee nikateketeza pesa ndefu ,nikampa 200k , tukaachana akaenda kwao ,eti nashangaa ananipigia simu kuniomba pesa ya supu nikapiga chini
 
Unless sijaelewa...
Unapenda kuombwa milioni 2 lakini hutaki kuombwa elfu kumi?
Sasa hapo ukiombwa elfu kumi si ndo tuma laki 2 ili mhusika aelewe hupendi kuombwa hela ndogo?

Kwanza kama unaweza mpa milioni 2 si Bora utumie hata laki 3 bila kuombwa?..

Anakuomba elfu kumi kaona uwezo wako uko hapo na wewe onesha uwezo wako ulipo ...tuma ya uwezo wako
Hujanielewa tatizo
 
Jitazame nini una offer kwa hawa watu unakutana nao. Binadamu tunakawaida ya kupenda watu wanaotusikiliza, wanaotupatia mahitaji yetu (vitu tunavyohitaji sio vitu tunavyotaka),wanaotuambia ukweli na kuturekebisha kama wazazi wetu, wanaotupa fursa za kuishi kwa uwezo wetu sio kuwa tegemea wao.

Kwa kifupi tunataka watu ambao hureplace wazazi wetu na kutupatia zaidi ya wazazi wetu, ukifanya hivyo mtu atakupenda zaidi na kukupa mrejesho positive katika maisha.

Wanadamu tumekuwa wabinafsi sana tunajali zaidi tunachofanyiwa kuliko tunachofanyia wengine ndio maana ukikaa na mwanamke ndani ya siku mbili tatu akiona hapati anachohitaji kutoka kwako anakuona ni tatizo.
 
Kipi kipaumbele chako furaha yko au ya mpenzi wko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom