Njia ile ni nyembamba!!

Tangu Nyerere apande miti hii sasa hakuna kuiendeleza.
Hata kiwanda cha Mgololo cha karatasi walipewa waKenya kwa $1
Na lile shamba la milingoti ya umeme kule Mbeya limefungwa
Hata kiwanda cha kutreat hiyo miti kimefungwa....
Hii ndiyo Tanzania, wenda wazimu utupu!!!
 
Back
Top Bottom