Njia ile ni nyembamba!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
DSC01273.JPG
Wadau njia hiikweli ni nyembamba! lakini nikaipita hivi majuzi,
Atakayenitajia ni wapi nampa mji!!
 
You reminded me of oldies....njia ile ni nyembamba yendayo kisimani. Uncle hiyo si nyembamba bali ni distance of shooting and sowwy donno the place.
 
Hii ni Tz mkubwa nchi yetu ina rasilimali nyingi! Huo unaouona mbele ni msitu wa Sao Hill

Mkuu Tukutu,rmb na Kana Amuchi mmepata haswaaa!!!
Hii picha ni wide angle, msitu huu wa Sao Hill uliopo Mafinga unavutia sana na kuna sehemu unafunga barabara kwa juu.
Mpiga picha alitokea Mbeya na anaelekea Iringa asubuhi sana.
Vile vibao kwa mbele ni tahadhari kwa wasafiri kutotupa vichungi vya sigara kwani msitu huu wa mbao unaungua kama moto wa makaratasi!
 
Duh aisee kwakweli mandhari inavutia..tuna Nchi nzuri sema basi tu.
Nchi nzuri na ndo maana inauzwa kwa bei ya kutupa, huo msitu walishajimegea long time, watu wanaupukutisha lakini jitihada za kupanda miti ni ndogo.
 
Back
Top Bottom