Njia bora ya kutumia vizuri kipindi hiki cha masika ni kufuga samaki

Jan 13, 2023
92
99
Habari zenu Wakuu?

Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki kibiashara.

Kimsingi kuna aina nyingi sana ya samaki wanaoweza kufugika but common cultured species ni mbili Sato (Tilapia) na Kambale (Catfish).

Ni kawaida kwa jamii nyingi kufuga, kuku, mbuzi au Ng'ombe ila sio kawaida kwa jamii zetu kufuga samaki pamoja na kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa ufugaji wa samaki, hii ni kutokana na uwepo wa kutosha wa maji baridi (fresh water) upatikanaji rahisi wa vifaranga na chakula cha samaki.

Huu ni muda sasa wa jamii na mtu mmoja mmoja kuamka na kuanza utamaduni wa kufuga samaki kama njia ya kujiongezea kipato au kujipatia kitoweo. Ufugaji samaki ni rahisi na nafuu sana sio razima uwe na mtaji mkubwa, muhimu ni kuwa na maji ya kutosha unaweza kuanza kidogo kwa kuvuna maji ya mvua, kutumia visima, kutumia maji yanayotililishwa na mito au hata ya bomba.

Nitaelezea kwa ufupi sana hatua unazoweza kupitia ili andiko lisiwe refu kusudi hata wale wasiopenda kusoma andiko refu wapate mwanga

Hatua ya kwanza ni kuchimba bwawa kulingana na eneo ulilonalo, ni muhimu bwawa likawa na urefu wa mita 1 hadi 1.5m pia unaweza kutumia hizi mobile ponds, hizi ni nzuri kwa watu wa mijini ambao maeneo yao yamebana hakuna eneo la kutosha kuchimba

Hatua ya pili ni kujaza maji bwawa lako

Hatua ya tatu ni kupandikiza mbegu/vifaranga kulingana na volume ya maji uliyonayo

Hatua ya nne ni kulisha samaki wako (daily routine)

Hatua ya tano ni kufanya sampling, hili zoezi litafanyika kila mwezi utachukua idadi kadhaa ya samaki wako na kuwapima uzito. Hii itakusaidia kujua maendeleo ya ukuaji wa samaki wako (growth performance).

Hatua ya mwisho ni kuvuna, hii inaweza kuchukua miezi 4 hadi 9. Itategemea unataka kuvuna samaki wako wakiwa na size/uzito gani 250g au 500g

Karibu kwa maswali, nyongeza au ufafanuzi zaidi. Hii kwangu ni huduma sitokucharge chochote am doing this voluntary with a giving spirity.
IMG-20220129-WA0014.jpg
IMG-20211216-WA0054.jpg

Nicheck kupitia

0758779170
Bwanasamaki012@gmail.com
 
Attachments

  • IMG-20211223-WA0025.jpg
    IMG-20211223-WA0025.jpg
    56.1 KB · Views: 37
Mimi nilitaka kujua tu mkuu je nikachimba kisima futi tatu nikaenda kwenye mitaro yenye perege au kambale hawawezi wakafugika
 
Habari zenu Wakuu?

Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki kibiashara.

Kimsingi kuna aina nyingi sana ya samaki wanaoweza kufugika but common cultured species ni mbili Sato (Tilapia) na Kambale (Catfish).

Ni kawaida kwa jamii nyingi kufuga, kuku, mbuzi au Ng'ombe ila sio kawaida kwa jamii zetu kufuga samaki pamoja na kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa ufugaji wa samaki, hii ni kutokana na uwepo wa kutosha wa maji baridi (fresh water) upatikanaji rahisi wa vifaranga na chakula cha samaki.

Huu ni muda sasa wa jamii na mtu mmoja mmoja kuamka na kuanza utamaduni wa kufuga samaki kama njia ya kujiongezea kipato au kujipatia kitoweo. Ufugaji samaki ni rahisi na nafuu sana sio razima uwe na mtaji mkubwa, muhimu ni kuwa na maji ya kutosha unaweza kuanza kidogo kwa kuvuna maji ya mvua, kutumia visima, kutumia maji yanayotililishwa na mito au hata ya bomba.

Nitaelezea kwa ufupi sana hatua unazoweza kupitia ili andiko lisiwe refu kusudi hata wale wasiopenda kusoma andiko refu wapate mwanga

Hatua ya kwanza ni kuchimba bwawa kulingana na eneo ulilonalo, ni muhimu bwawa likawa na urefu wa mita 1 hadi 1.5m pia unaweza kutumia hizi mobile ponds, hizi ni nzuri kwa watu wa mijini ambao maeneo yao yamebana hakuna eneo la kutosha kuchimba

Hatua ya pili ni kujaza maji bwawa lako

Hatua ya tatu ni kupandikiza mbegu/vifaranga kulingana na volume ya maji uliyonayo

Hatua ya nne ni kulisha samaki wako (daily routine)

Hatua ya tano ni kufanya sampling, hili zoezi litafanyika kila mwezi utachukua idadi kadhaa ya samaki wako na kuwapima uzito. Hii itakusaidia kujua maendeleo ya ukuaji wa samaki wako (growth performance).

Hatua ya mwisho ni kuvuna, hii inaweza kuchukua miezi 4 hadi 9. Itategemea unataka kuvuna samaki wako wakiwa na size/uzito gani 250g au 500g

Karibu kwa maswali, nyongeza au ufafanuzi zaidi. Hii kwangu ni huduma sitokucharge chochote am doing this voluntary with a giving spirity.View attachment 2481630View attachment 2481640

Nicheck kupitia

0758779170
Bwanasamaki012@gmail.com
Habari mkuu
 
Unauza vifaranga kiongozi...? Na chakula chao hawa huwa ni chakula gani na gharama za malisho huwa kiasi gani kwa mwezi au mpaka unawavua...?
 
Na unapoweka vifaranga inachukua muda gani mpaka wao wenyewe kuzaliana au hawazaliani hawa...?
 
Back
Top Bottom