Elections 2010 Njia 20 za Wizi wa Kura Barani Afrika

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Watu wengi hasa vyama vya Upinzani katika nchi zinazoendelea hawajui mbinu zinazotumiwa na Vyama vinavyokuwa madarakani katika kuiba kura.

Humu JF kuna watu wengi wanaojua mbinu hizo.Ni bora
(kwa wanaozijua) waziweke hapa ili kuvisaidia vyama vya upinzani kuzijua mapema ingawa baadhi ya mbinu hizo wamekwisha pigwa chenga

1.Serikali kupunguza idadi ya watu wanaojiandisha katika daftari kwa kutotoa elimu ya mpiga kura(watu wengi hawajiandikishi katika daftari wanashka wakati wa kampeini)

2.Vitisho wakati

3.Kutumia watumishi wa serikali kubadilisha matokeo ya kura
4.Kununua au kuwahonga mawakala wa vyama pinzani
5.Kutumia chupa za chai kwa kuingiza kura katika themoth ili kuwapelekea wasimamizi
6.

nitaendelea baadaye au wengine wanawweza kuongeza
 
Viongozi wengi karibia wote wa UPINZANI walikua Chama Tawala hivyo basi kama kuna hiyo kitu watakua wanajua

Mnatafuta tu kulia lia,,,, Msijali mtazoea,,,wenzenu (CUF) kule Zanzibar walikua hivyo hivyo ,,sasa hivi washazoea,,,,LAINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

kwahiyo ndio hivyo,,,mwanzo mgumu....te teh
 
Back
Top Bottom