Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

Kamanda kazi habari za leo, kamanda kuna ndugu zangu wanatatizo linalowatokea kila mwaka haswa inapofika miezi ya june mpaka july tatizo hili huwa linachukua nafasi sana.
Wao kwenye midomo yao sehemu ya mwisho huwa panauma na mara nyingine hupasuka na kuwa vidonda hubadilika rangi sehemu hizo na mtu anakuwa na mdomo kama kinda la ndege, je kamanda hali hii husababishwa na nini? ni ipi tiba yake kama umejaaliwa kuifahamu?
 
nina tatizo la kuumwa na tumbo na nimeenda hospitali na nmepima vidonda vya tumbo nmeambiwa sina(NEGATIVE) nmepewa dawa za kutumia lakn sioni dalili zozote zile za kupona yan maumivu bado yanaendelea na wakat dozi namalizia....hadi sas nmetumia dawa aina zaid ya tatu lkn bado hali inanisumbuwa .........ni tumbo ambalo linauma kwa kiasi fulan sio ile ya kukomoa mkuu ila naona ni mda mrefu sasa yan almost mwezi wa 3 huu naangaika na maumivu hayo.....Na mara nyingi huuma pale ninapokuwa nmetulia yan nmekaa sehem lkn nkitembea hali huwa ni fresh kwa mara nyingi na pia nikiamka asubuhi tumbo nalo hukata utazani nmepona lkn hali huludi kuwa vilele baada ya mda.....MSAADA WAKO MKUU NITUMIE DAWA GAN I KWAN LINANIKOSEASHA RAHA....asante
Kapime H I V mkuu wakati mwingine maumivu ya tumbo yanaambatana na hilo tatizo japo si kwa asilimia 100.
 
ninasumbuliwa na tatizo la maeneo mbalimbali ya mwili wangu nahisi kama joto kali linalonipa maumivu kwa ndani, nikiwa katika mazingira ya baridi hali hii hubadilika na kuhisi baridi kali kati ya maeneo yafuatayo hasa miguuni, mapajani, kiunona na mgongoni pia, hali hii husababishwa na nini? na tiba yake inakuwaje? natanguliza shukrani.
Mkuu nendaa ukapime sukari
 
Nasumbuliwa bakteria kwenye mbegu za uzaz lkn pia niki pigs bao halitoki lote had nikamue kamue kwa mkono yaan manii yanabak ndan ya uume
 
Me nimepata ajali ya gari wiki iliyopita nikagonga kichwa chini upande wa kushoto kuna hali ya kupooza upande wte wa kushoto mwa kichwa chngu mkuu
 
Back
Top Bottom