Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

mkuu mdogo wangu anaumbuliwa na ugojwa wa ngozi yani sanasana uso ngozi inaweza ikawa kama ana mmba yan akianza hata kujisugua hz ngozi kama inatoka kwa kupukutika hvyi

Hii imejibiwa humu ndugu yangu. Sijui kama nilikujibu wewe au mtu mwingine. Ugonjwa unaitwa Pumu ya ngozi au kwa kiingereza Eczema.
 
Kuongeza unene

Unapenda kuongezeka unene kwa maana ya umbo lako au kuongezeka uzito pia. Kabla hujafikiria kuongeza unene hebu pima kwanza uzito na urefu wako kisha ufanye mahesabu kujua uwiano wa uzito na urefu wako (Body Mass Index) kujua kama uko sawa au uko chini. Please nisaidie kwa hilo then nitakushauri.
 
Ko hapo kiongozi unashauri nn
 
Uzito 56.sio mrefu wa mfupi
Unene kwa maana ya umbo langu.na sio uzito wa kupitiliza .kwa sababu uzito wangu unapungua kwa kasi.befor hips ilikuwa 43 bt nw 39.sipendez kabsaaa nahitaj kurudisha umbo langu
 
Mimi Nina umwa na goti nilianguka uwajani mwaka Jana japo natembea kufanya shughuli zangu za kawaida lakini sku nyingine inavimba nakuuma nipe ushauri Dr
 
Uzito 56.sio mrefu wa mfupi
Unene kwa maana ya umbo langu.na sio uzito wa kupitiliza .kwa sababu uzito wangu unapungua kwa kasi.befor hips ilikuwa 43 bt nw 39.sipendez kabsaaa nahitaj kurudisha umbo langu

Okey Farida ngoja niangalie ushauri gani wa kukufaa zaidi. But don't go for chinese medication! Take care. I will come back to you!
 
Me ningependa kujua tatizo la kuumwa na mafua mara kwa mara nini chanzo na dawa yake, nikitumia vinywaji vya baridi lazima kesho yake niamke na mafua
 
Kupunguza tumbo na uzito. nina kilo 90 sasa na urefu wa futi 6.5 na shape yangu ni ile ya kihiindi au wanawake wa kichagaa
 
Habari yako!
Mim macho yangu yana matatzo,sioni mbali! Na usku sioni vizuri! Sijawahi kuvaa miwan na wala sina mpango wa kuivaa,Dawa gan nitumie! Kumbuka sijawahi kwenda hosptal kwa hili tatzo! Ni hayo.
 
Back
Top Bottom