muwaha
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 740
- 148
Rev M, kazi uliyotupa ni rahisi sana, inategemea na handset utumiayo, kwa wenye E 71, E72 au yangu E75 unaweza download "advanced communication manger" software kutoka ovi store for free, then hiyo software in option ya ku-set namba zilizopo tu kwenye fonebook ndio zikupigie ikiingia ambayo haipo kwenye fonebook automatically inakuwa blocked. Call barring ina limitation ya all incoming au all international incoming tu ndo zinakuwa blocked, jaribu hiyo option, tanks and if you have any other problem let us know. CHADEMA DAIMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!