Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Rev M, kazi uliyotupa ni rahisi sana, inategemea na handset utumiayo, kwa wenye E 71, E72 au yangu E75 unaweza download "advanced communication manger" software kutoka ovi store for free, then hiyo software in option ya ku-set namba zilizopo tu kwenye fonebook ndio zikupigie ikiingia ambayo haipo kwenye fonebook automatically inakuwa blocked. Call barring ina limitation ya all incoming au all international incoming tu ndo zinakuwa blocked, jaribu hiyo option, tanks and if you have any other problem let us know. CHADEMA DAIMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!
 
Shida ya hii inablock all incoming calls: unapiga * # 33# hii inactivate barring all incoming calls....

hii sasa ndio shida....kama inablock calls zote haitafaa......ngoja tumsubiri 3D anaweza akawa na kitu cha kutushauri
 
Rev M, kazi uliyotupa ni rahisi sana, inategemea na handset utumiayo, kwa wenye E 71, E72 au yangu E75 unaweza download "advanced communication manger" software kutoka ovi store for free, then hiyo software in option ya ku-set namba zilizopo tu kwenye fonebook ndio zikupigie ikiingia ambayo haipo kwenye fonebook automatically inakuwa blocked. Call barring ina limitation ya all incoming au all international incoming tu ndo zinakuwa blocked, jaribu hiyo option, tanks and if you have any other problem let us know. CHADEMA DAIMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!

Natumia iPhone 3GS. Nashukuru pia mkuu nimeona kwenye mtandao natakiwa nidownload cydia then nitamkomesha finger closed.

Pamoja
 
Jaribu kutumia simu zenye option ya kublock number,sms, kama aina ya sumsung, sony ericsson utakuwa umempatia huyo "anayekudai" !
 
nasikia zile simu original za samsung line 2 za mkorea unaweza kublock mpaka msg, lakini sina uhakika sana sijawahi itumia labda jaribu kuulizia wenye nazo watakufahamisha, kisha utaweka line yako humo km itafanikiwa.

ni kweli kabisa mimi nina simu hiyo na huwa naweza kufanya kitu hicho

kublock calls unaenda call log thencall manager then reject list na unaingiza namba

kublock sms unaenda messages then settings trhen text messages na unaingia block number
 
Mchungaji...

Hiyo ni abuse kama kutukana au hata kung'ong'a mtu; nijuavyo mimi kuna sheria zinazokulinda na endapo utaripoti basi utapewa msaada hata wa kisheria au law enforcement people may intervene

Sijui mmepeana nini, lakini nadhani you can take that route kwani kama ni kubadili simu, unaweza ukawa umetimiza lengo lake, na kama ni call barring, anaweza kuja na nyingine

BTW, huyo mtu ana akili timmamu kweli? and how did you get involved na mtu kama huyo aisee mchungaji? au ni muumini?
 
We need to talk mkuu! Hivi ni vimeo unakutanavyo kwenye maisha ya kawaida unajikuta unagawa namba! Sasa hizi ni repercussion za yatokanayo. Somo linakuwa halieleweki inabakia abuse kwenye simu mambo ya mail nilimaliza kwa kuweka account kwenye junk na spam simu imekuwa balaaa.... haya mambo balaa
 
LOL... pole sana, ila mkuu umenifanya nicheke

ngoja ni-PM
 
We need to talk mkuu! Hivi ni vimeo unakutanavyo kwenye maisha ya kawaida unajikuta unagawa namba! Sasa hizi ni repercussion za yatokanayo. Somo linakuwa halieleweki inabakia abuse kwenye simu mambo ya mail nilimaliza kwa kuweka account kwenye junk na spam simu imekuwa balaaa.... haya mambo balaa

pole mwana..................!
duu nimecheka i see................!
 
Dear friends

Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali

Mch Masa K
kama cmu yako ingekuwa samsung ungetakwa kwenda settings>application>calls>all calls>auto rejects reject list
hapo waweza kuingiza namba. akipiga utaona tu kaMA MISSED CALL BILA YA CMU KUITA
SWALI

IVI WEWE NI MCHUNGAJI WA KWELI???. HAYA MAMBO UNAYOYASEMA NI YA KWELI- SI MSULUHISHE KWA BABA ASKOFU????
 
pole mwana..................!
duu nimecheka i see................!

Usikumbwe na hili tatizo mwenzangu. Nimempa simu mdada tunashare offce awe anapokea simu na ajifanye kuwa yeye ni items na mimi mpiga simu haelewi anaendelea kutapika sumu kali.
 
IVI WEWE NI MCHUNGAJI WA KWELI???. HAYA MAMBO UNAYOYASEMA NI YA KWELI- SI MSULUHISHE KWA BABA ASKOFU????

Jibu!

Ni kweli mimi ni kiongozi wa kiroho na niko na familia yangu. Hili ni kando kando lilitokea tu, kwenda kwa baba askofu nitauwa band. Nadhani umenisoma.
 
SWALI

IVI WEWE NI MCHUNGAJI WA KWELI???. HAYA MAMBO UNAYOYASEMA NI YA KWELI- SI MSULUHISHE KWA BABA ASKOFU????
hahahaaaaaaaaaa... hiii ni kiboko, nimecheka sana leo

nimemwambia pia ajaribu tu kumface na kusuluhisha aisee, demu kakamata mpini.. LOL

Ni true story, kuna jamaa yangu alifanya hivyo, kumbe yule demu alikua anapiga picha kwa siri (kwenye simu) walimaliza kuchapana na anasave kwenye simu. siku walipoachana demu akarusha zile picha kwenye mitandao hadi ya ofisini kwa jamaa

Jamaa alibidi ahame nchi

Masa, hebu settle na huyo mdada wa watu, au mrudie kifambafamba... na kuwa unampa dozi mbovu, unavunga umelewa hufai, kila kitu unafanya kinyume, hata mudanganya kwamba kazi umefukuzwa..unaomba pesa ya nauli na ya kula, hadi atakuacha
 
Mkuu nina hakika hana picha nami picha alonayo ni ile niko na wasela wengine wakadhaa! Suala la kumrudia halipo maana niko na serious relation na Mzanzibara Sept naowa. Wewe unajua ni mwalikwa na mdau muhimu. Haya mazaga zaga sijui yataishaje isije mkwaza mzenji wangu na shemeji Kibunango.
 
Mkuu nina hakika hana picha nami picha alonayo ni ile niko na wasela wengine wakadhaa! Suala la kumrudia halipo maana niko na serious relation na mwakani Sept naowa. Wewe unajua ni mwalikwa na mdau muhimu. Haya mazaga zaga sijui yataishaje isije mkwaza mzenji wangu na shemeji Kibunango.
nimekusoma mkuu... ongeza mapenzi nyumbani, mpotezee huyo n'tu... tena ukiweza piga tripu bongo, kaa miezi miwili
 
Khaaaa!
Mkuu unapambana na Stalker sasa?,...

Unaweza kubadilisha namba, au simu zake zote unazi divert kwenye answering machine.
Mimi iliponitokea mkasa kama huo nilikuwa napokea kisha naweka simu pembeni,...namsikia anabweka weeeeeeeeee....halafu anakata.
Sana sana ni yeye analiwa calling credits zake hata kama ana 1000minutes monthly allowance.
Atachoka tu.

Usijifanye unataka hutaki, yaani siku unapokea na kujibishana nae..., ataendelea kupata mixed messages.
Saa nyingine kwenye situations kama hizi ni bora kujivisha helmet na ear muffs kisha kujifanya kiziwi.
29 missed calls si mchezo, Pole sana, ....
 
Najua kuna cm nyingi za mchina zina option ya kuweka hadi namba tano tofauti kwenye back/black list ama ya cm au sms! Nadhani hiyo inaweza kusaidia acje
Angalizo:
wale wanaodaiwa naomba wac2mie opt hii unaweza kukatwa mapanga !
 
Back
Top Bottom