Nitakusaidia mke wangu, kwa kuwa nakupenda...

Mwendawazimu2

Member
Nov 29, 2010
54
5
Najua uko bize siku hizi. Sometimes hujatandika kitanda, natafuta mashuka mwenyewe, natandika. Sometimes hujaniwekea maji bafuni, nachemsha mwenyewe napeleka. najua uko bize ndo maana nakusaidia.

Leo ni siku ya nne, unyumba sijapata kwa sababu uko bize na ukuja kulala unakuwa umechoka. Hili nalo nitakusaidia, ila please usiniulize kwa nini nimerudi hom nina harufu ya perfume ambayo haipo hapo kwenye kameza ketu, nilikuwa nakusaidia, kwa sababu nakupenda...
 
Hakikisha kabla hujafikia uamuzi unaotaka ukae na huyo mke wako umwambie msimamo wako then uchukue hatua kulingana na mazungumzo yenu,maana unaweza kutoka nje kumbe wewe ndo tatizo la yote.
 
Huo msaada wa kusaidiana mpaka kwenye unyumba...unatafuta kukalishwa vikao wewe
 
Kwa wote waliomo humu...

kwa hiyo umeoa ili utandikiwe na kupelekewa maji bafuni kwa kuwa,kwani dada zako walishindwa kukufanyia haya mbona hujawaoa,acheni dharau zenu na kujikweza nyie vijanaume wa sampuli hii,nna kazi nyingine kabisa hapo kwako.kama hamlijui mkae chini mfundwe.
 
nilivoanza kusoma,.i went "jeeez what a sweet hubby,"nlivomaliza :Cry:,.Vunja ukimya.
 
Utoto,wewe kikupelekacho huko nje ni tamaa zako,usituambie eti unamsaidia................muulize vizuri sometimes kuna sababu ya kutokupa unyumba zaidi ya uchovu....kama we mwanaume kweli muage kwamba unaenda kumsaidia,au kama unavyofanya hayo mengine akiona,nenda nae huko................lol
 
Huo msaada wa kusaidiana mpaka kwenye unyumba...unatafuta kukalishwa vikao wewe

kwa hiyo umeoa ili utandikiwe na kupelekewa maji bafuni kwa kuwa,kwani dada zako walishindwa kukufanyia haya mbona hujawaoa,acheni dharau zenu na kujikweza nyie vijanaume wa sampuli hii,nna kazi nyingine kabisa hapo kwako.kama hamlijui mkae chini mfundwe.

Utoto,wewe kikupelekacho huko nje ni tamaa zako,usituambie eti unamsaidia................muulize vizuri sometimes kuna sababu ya kutokupa unyumba zaidi ya uchovu....kama we mwanaume kweli muage kwamba unaenda kumsaidia,au kama unavyofanya hayo mengine akiona,nenda nae huko................lol

Sasa mbona mmekuwa wakali wapendwa?Si anamsaidia tu.........
 
Utoto,wewe kikupelekacho huko nje ni tamaa zako,usituambie eti unamsaidia................muulize vizuri sometimes kuna sababu ya kutokupa unyumba zaidi ya uchovu....kama we mwanaume kweli muage kwamba unaenda kumsaidia,au kama unavyofanya hayo mengine akiona,nenda nae huko................lol

mimi huwa naamini kama kidume kinafanya kazi yake vizuri,hata uwe umechoka vipi au nini utakipa tu maana hakuna kutu kitamu kama kile,ukiona hupewi kaka jua hamna kitu.
 
Msimlaumu na kumtolea mineno. Huyu mwendawazimu2 anawakilisha kilio cha wanaume wengi walio kwenye ndoa. Hayo ni masahibu wanayoyapata. Wanawake walio olewa, wengi wao wanapenda kweli kusaidiwa (kila kitu) na wanaume zao!
 
Yani wewe kweli ni mwendawazimu!!Huyo mwanamke anapofanya hizo kazi ndo anakusaidia wewe...na wewe ukifanya unajifanyia after all hakuja nazo yeye!Alafu acha tamaa za kijinga...siku tano tu unataka kugawa nje?Ikitokea mwenzako akaumwa zaidi ya mwezi?Embu kueni na huruma nyie wanaume!Alafu kama umeoa ili ufanyiwe kazi tu na unyumba hukua mature enough kuchukua hiyo hatua!Mke ni zaidi ya kibaraka wa kazi za ndani and sex na kama hulitambui hilo unahitaji darasa!
 
hah! msaada gani wa kusidiwa mpaka unyumba!? si umsaidie kupunguza kazi ili akiingia kitandani asiwe mchuvu
 
kwa hiyo umeoa ili utandikiwe na kupelekewa maji bafuni kwa kuwa,kwani dada zako walishindwa kukufanyia haya mbona hujawaoa,acheni dharau zenu na kujikweza nyie vijanaume wa sampuli hii,nna kazi nyingine kabisa hapo kwako.kama hamlijui mkae chini mfundwe.

Naomba nikuulize hiyo kazi ni ipi maana hata unyumba huyo bwana hajapewa siku ya nne sasa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom