Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

waswahili washenzi tu. hapo anataka aonekane mjanja, hana tofauti na mganga wa tunguri. hii hapa, jisevie. wachana na hao wazushi.

BMI
605695213ef434b312e9bc88d94ad2ee.png

395px-Body_mass_index_chart.svg.png

Kaanzishe thread yako na hilo chart lako, acha wenye shida wasaidiwe.....
 
UNENE ULIOZIDI (Overweight): uzito wako ulitakiwa kuwa kati ya kilo 57.3 mpaka 77.1

Mkuu kumbe unabahatisha!!

Mwenye urefu wa 176cm awe na uzito wa 57.3kg - 77.1kg, halafu mwenye urefu wa 178cm awe na 55.4kg - 74.5kg nimekukamata mkuu!!
 
Mkuu hapa sifanyi utabiri, kama unahisi hiki kinachofanyika hapa ni utabiri, basi nenda hospitali yoyote unayoiamini hapa Tanzania au nje ya nchi wakakufanyie calculations hizi, halafu uje utoe testimony hapa JF.
Haya nitajie 2.1m,42kg
 
Kaanzishe thread yako na hilo chart lako, acha wenye shida wasaidiwe.....

hahaha!!! wacha swaga za kiganga. aibu ishakushika kuona watu wanajua formula. kwa hiyo ulikuwa unajiona mjanja eh!!??
 
Wewe ni MUNGU? acha kujitoa ufahamu. Hujalazimishwa kufuatilia thread hii.
Ukitaka kupata Dose ya ARVs, ALU (Dawa mseto ya malaria), Quinine n.k n.k ukifungua internate unazipata. Je umewahi kujiuliza kwanini watu wanaenda Hospitali wakati Google ipo? Za kuambiwa changanya na za kwako. Acha wenye shida wasaidiwe bure kabisa, hapa hakuna mashindano ya nani anajua na nani hajui. Halafu ukiona thread haikuvuti ondoka.

NB: Katiba pendekezwa ipo kila kona, ni kiasi cha kusoma na kusubiri kupiga kura. Lakini umewahi jiuliza ni kwanini Jaji Warioba na wengineo wanaendesha midahalo ya katiba ili kuwaelimisha wa TZ? Kwani wa TZ hatujui kusoma? Narudia tena wewe kama unafahamu waache wenzako wasidiwe.

sawa dokta.
 
wewe acha kujifanya unajua sana.kwenye vituo vya avya zipo takwimu zilizo fanyiwa utafiti wa kitabibu kuonyesha ukiwa na urefu fulani unatakiwa uwe na kilo zisizo pungua.cha msingi kama unazo ziweke hapa kila mtu afaidi
 
Ukitaka kupata Dose ya ARVs, ALU (Dawa mseto ya malaria), Quinine n.k n.k ukifungua internate unazipata. Je umewahi kujiuliza kwanini watu wanaenda Hospitali wakati Google ipo? Za kuambiwa changanya na za kwako. Acha wenye shida wasaidiwe bure kabisa, hapa hakuna mashindano ya nani anajua na nani hajui. Halafu ukiona thread haikuvuti ondoka.

NB: Katiba pendekezwa ipo kila kona, ni kiasi cha kusoma na kusubiri kupiga kura. Lakini umewahi jiuliza ni kwanini Jaji Warioba na wengineo wanaendesha midahalo ya katiba ili kuwaelimisha wa TZ? Kwani wa TZ hatujui kusoma? Narudia tena wewe kama unafahamu waache wenzako wasaidiwe.

Hujanielewa, yapo mambo unaweza kujifanyia mwenyewe, labda kama wewe kichwa maji, ndo maana unaambiwa ukisikia kichwa kinakuuma sana kunywa panadol, ukiona kinaendelea wahi kwa daktari, hapa angetoa kanuni halafu watu wasielewe ndo wangeuliza, hii tabia ya kutaka kila kitu ufanyiwe ndo inatumaliza watanzania, kila kitu tunahitaji wawekezaji.
 
wewe acha kujifanya unajua sana.kwenye vituo vya avya zipo takwimu zilizo fanyiwa utafiti wa kitabibu kuonyesha ukiwa na urefu fulani unatakiwa uwe na kilo zisizo pungua.cha msingi kama unazo ziweke hapa kila mtu afaidi

Soma post hii toka page ya 1 ndiyo utajuwa umuhimu wake, wewe mwenye access na hizo takwimu barikiwa sana. Acha wenye shida wasaidiwe.
 
hahaha!!! wacha swaga za kiganga. aibu ishakushika kuona watu wanajua formula. kwa hiyo ulikuwa unajiona mjanja eh!!??

Minyoo inayopatikana kwa Nguruwe (Taenia solium) inafahamika madhara yake kwa Binadamu. Lakini kwanini kila siku watu wanatoa elimu ya kula Nyama ya Nguruwe iliyoiva, pia kutoacha Nguruwe kuzagaa mitaani? Kwani uki-google elimu hiyo hutaipata. Kila kitu kipo wazi mkuu, na siyo kila kitu kinafahamika na kila mtu. Angalia usije ukapata Neurocysticercosis kwa kushupaza shingo.
 
Watanzania hamuishi vituko; pima urefu wako toka kwenye kisigino cha mguu hadi juu ya utosi wako wa kichwa. Uzito ni wa mwili wako. Haya leta majibu ujue hali yako ya lishe.

jinga hilo.
Mkuu urefu wangu 172cm, weight 78kg
 
Minyoo inayopatikana kwa Nguruwe (Taenia solium) inafahamika madhara yake kwa Binadamu. Lakini kwanini kila siku watu wanatoa elimu ya kula Nyama ya Nguruwe iliyoiva, pia kutoacha Nguruwe kuzagaa mitaani? Kwani uki-google elimu hiyo hutaipata. Kila kitu kipo wazi mkuu, na siyo kila kitu kinafahamika na kila mtu. Angalia usije ukapata Neurocysticercosis kwa kushupaza shingo.
yada yada yada!
 
jinga hilo.
Mkuu urefu wangu 172cm, weight 78kg

Your BMI is 26.4, indicating your weight is in the Overweight (UNENE ULIOZIDI) category for adults of your height.

For your height, a normal weight range would be from 54.7 to 73.7 kilograms.
 
Njia rahisi ni kudowload bmi kwa application store walio na smart phone
 
Back
Top Bottom