Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

waswahili washenzi tu. hapo anataka aonekane mjanja, hana tofauti na mganga wa tunguri. hii hapa, jisevie. wachana na hao wazushi.

BMI
605695213ef434b312e9bc88d94ad2ee.png

395px-Body_mass_index_chart.svg.png

asante sana mkuu, sijui kwa nini watu wanapenda kuwafanya wenzao tegemezi, kwamba kila wakati tukampigie magoti ili atufanyie hiyo calculation ambayo angetupatia kanuni tungewafanyia na wengine wasioijua JF. Huu ni sawa na ule uchoyo wa enzi zile eti ukimwelekeza mwanafunzi mwenzako basi atakuzidi darasani, tabia ya kichawi hii.
 
Kwa wale wasiyo jua hali zao za lishe, nimejitolea kukupa ufafanuzi wa hali yako ya lishe kwa kutumia Uzito na Urefu wako. Niambie Uzito wako (Kg) na Urefu wako kwenye (Metre); Ukifanya hivyo ni takueleza upo kundi gani kati ya haya hapa chini:

1. Hali duni ya lishe (Underweight)
2. Hali nzuri ya lishe (Normal weight)
3. Unene uliozidi (Overweight)
4. Unene uliokithiri (Obese)

Nimejitolea bila malipo yoyote;Zingatia kama itatokea uzito wako kuwa mkubwa, nitakutajia na kiwango unachotakiwa kupunguza.
KARIBUNI WOTE.
NB: Watu wenye Unene Uliozidi na Unene uliokithiri wapo kwenye hatari kubwa ya kupata Magonjwa sugu kama (High blood pressure=Shinikizo la damu), (Diabetes=Kisukari), na (High cholesterol= Mafuta mengi kwenye damu).

163cm. 52kg
 
Kuna App pia unaweza ku download ku calculate BMI yako. Nenda kwenye app store andika BMI calculator zitakuja nyingi tu, chagua inayokufaa. Hivi ni vitu ambavyo kila mtu alistahili kujua ili ku control ulaji na afya yake kwa ujumla
 
Mwalimu Nyerere alituasa ukitaka kumsaidia mtu anayependa samaki sana ni kumfundisha jinsi ya kuvua, sasa alishindwa nini kutupatia kanuni inayotumika ili na sisi tuitumie kwa wengine, kama si kujenge mazingira mazuri ya kutufanya wategemezi wake ni nini? hii naifananisha na ile mikopo ya IMF.

Ukitaka kupata Dose ya ARVs, ALU (Dawa mseto ya malaria), Quinine n.k n.k ukifungua internate unazipata. Je umewahi kujiuliza kwanini watu wanaenda Hospitali wakati Google ipo? Za kuambiwa changanya na za kwako. Acha wenye shida wasaidiwe bure kabisa, hapa hakuna mashindano ya nani anajua na nani hajui. Halafu ukiona thread haikuvuti ondoka.

NB: Katiba pendekezwa ipo kila kona, ni kiasi cha kusoma na kusubiri kupiga kura. Lakini umewahi jiuliza ni kwanini Jaji Warioba na wengineo wanaendesha midahalo ya katiba ili kuwaelimisha wa TZ? Kwani wa TZ hatujui kusoma? Narudia tena wewe kama unafahamu waache wenzako wasaidiwe.
 
asante sana mkuu, sijui kwa nini watu wanapenda kuwafanya wenzao tegemezi, kwamba kila wakati tukampigie magoti ili atufanyie hiyo calculation ambayo angetupatia kanuni tungewafanyia na wengine wasioijua JF. Huu ni sawa na ule uchoyo wa enzi zile eti ukimwelekeza mwanafunzi mwenzako basi atakuzidi darasani, tabia ya kichawi hii.
Ukitaka kupata Dose ya ARVs, ALU (Dawa mseto ya malaria), Quinine n.k n.k ukifungua internate unazipata. Je umewahi kujiuliza kwanini watu wanaenda Hospitali wakati Google ipo? Za kuambiwa changanya na za kwako. Acha wenye shida wasaidiwe bure kabisa, hapa hakuna mashindano ya nani anajua na nani hajui. Halafu ukiona thread haikuvuti ondoka.

NB: Katiba pendekezwa ipo kila kona, ni kiasi cha kusoma na kusubiri kupiga kura. Lakini umewahi jiuliza ni kwanini Jaji Warioba na wengineo wanaendesha midahalo ya katiba ili kuwaelimisha wa TZ? Kwani wa TZ hatujui kusoma? Narudia tena wewe kama unafahamu waache wenzako wasaidiwe.
 
we vipi? kajipange.. we siku zote hujui BMI unafanya nini kwenye hii dunia? potea.

Wewe ni MUNGU? acha kujitoa ufahamu. Hujalazimishwa kufuatilia thread hii.
Ukitaka kupata Dose ya ARVs, ALU (Dawa mseto ya malaria), Quinine n.k n.k ukifungua internate unazipata. Je umewahi kujiuliza kwanini watu wanaenda Hospitali wakati Google ipo? Za kuambiwa changanya na za kwako. Acha wenye shida wasaidiwe bure kabisa, hapa hakuna mashindano ya nani anajua na nani hajui. Halafu ukiona thread haikuvuti ondoka.

NB: Katiba pendekezwa ipo kila kona, ni kiasi cha kusoma na kusubiri kupiga kura. Lakini umewahi jiuliza ni kwanini Jaji Warioba na wengineo wanaendesha midahalo ya katiba ili kuwaelimisha wa TZ? Kwani wa TZ hatujui kusoma? Narudia tena wewe kama unafahamu waache wenzako wasidiwe.
 
2.1m, 42kg nitabirie na Mimi

Mkuu hapa sifanyi utabiri, kama unahisi hiki kinachofanyika hapa ni utabiri, basi nenda hospitali yoyote unayoiamini hapa Tanzania au nje ya nchi wakakufanyie calculations hizi, halafu uje utoe testimony hapa JF.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom