Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,596
3,639
Kwa wale wasiyo jua hali zao za lishe, nimejitolea kukupa ufafanuzi wa hali yako ya lishe kwa kutumia Uzito na Urefu wako. Niambie Uzito wako (Kg) na Urefu wako kwenye (Metre); Ukifanya hivyo ni takueleza upo kundi gani kati ya haya hapa chini:

1. Hali duni ya lishe (Underweight)
2. Hali nzuri ya lishe (Normal weight)
3. Unene uliozidi (Overweight)
4. Unene uliokithiri (Obese)

Nimejitolea bila malipo yoyote;Zingatia kama itatokea uzito wako kuwa mkubwa, nitakutajia na kiwango unachotakiwa kupunguza.
KARIBUNI WOTE.
NB: Watu wenye Unene Uliozidi na Unene uliokithiri wapo kwenye hatari kubwa ya kupata Magonjwa sugu kama (High blood pressure=Shinikizo la damu), (Diabetes=Kisukari), na (High cholesterol= Mafuta mengi kwenye damu).
[h=1]Obesity, Overweight, and Perceptions about BodyWeight among Middle-Aged Adults in Dar es Salaam, Tanzania[/h][h=2]Abstract[/h]
Prevalence of obesity is increasing throughout the world at an alarming rate. Appropriate perception of one's own body weight is important for improved weight control behavior. This study was conducted to determine the prevalence of overweight and obesity and assess perception of body weight among middle aged adults in Dar es Salaam, Tanzania. Structured questionnaire was used to collect sociodemographic and lifestyle information including perception about body weight. Anthropometric measurements were taken by a trained person following standard procedures. Prevalence of obesity was 13% and 36% among men and women, respectively. There was significant gender difference in perception of body weight (12% and 25% of men and women perceived their body weight as overweight). Only 2% of women perceived themselves as obese whereas none of the men did so. Among overweight men, only 22% perceived themselves as overweight/obese compared to 38% of overweight women who perceived themselves as overweight/obese. Overall, majority of the participants (87%) were willing to lose weight. There is a great difference between perceived and actual body weight with men underestimating their body weight more than women. Educational programs regarding overweight and obesity and the associated health consequences are highly recommended in Tanzania.
 
Urefu = 5. 7 Feet
Uzito = 65Kg

Kwa wale wasiyo jua hali zao za lishe, nimejitolea kukupa ufafanuzi wa hali yako ya lishe kwa kutumia Uzito na Urefu wako. Niambie Uzito wako (Kg) na Urefu wako kwenye (Metre); Ukifanya hivyo ni takueleza je upo kundi gani kati ya haya hapa chini:

1. Hali duni ya lishe (Underweight)
2. Hali nzuri ya lishe (Normal weight)
3. Unene uliozidi (Overweight)
4. Unene uliokithiri (Obese)

Nimejitolea bila malipo yoyote;Zingatia kama itaktokea uzito wako kuwa mkubwa, nitakutajia na kiwango unachotakiwa kupunguza.
KARIBUNI WOTE.
 
urefu wa kwenda juu au chini ??

uzito wa mwili au kitu ??
 
Hongera, una hali nzuri ya lishe (Norma weight). Kwa huo urefu ulionao uzito wako unatakiwa uwe kati ya 56.7Kg hadi 76.3Kg

Asante ndugu.
Ungependa watu wapande hiyo elimu ili wafanye hiyo kazi wenyewe? Kama ni ndio basi tupe darasa
 
urefu wa kwenda juu au chini ??

uzito wa mwili au kitu ??

Watanzania hamuishi vituko; pima urefu wako toka kwenye kisigino cha mguu hadi juu ya utosi wako wa kichwa. Uzito ni wa mwili wako. Haya leta majibu ujue hali yako ya lishe.
 
kwa wale wasiyo jua hali zao za lishe, nimejitolea kukupa ufafanuzi wa hali yako ya lishe kwa kutumia uzito na urefu wako. Niambie uzito wako (kg) na urefu wako kwenye (metre); ukifanya hivyo ni takueleza upo kundi gani kati ya haya hapa chini:

1. Hali duni ya lishe (underweight)
2. Hali nzuri ya lishe (normal weight)
3. Unene uliozidi (overweight)
4. Unene uliokithiri (obese)

nimejitolea bila malipo yoyote;zingatia kama itatokea uzito wako kuwa mkubwa, nitakutajia na kiwango unachotakiwa kupunguza.
Karibuni wote.

160
54 kg
 
ca1d28d7c2c5e28a92aa2e34e9568d44.png
605695213ef434b312e9bc88d94ad2ee.png




Body Mass Index
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom