October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,000
Anayejua Shule za private zisizo na majina makubwa zilizopo DSM na pembezoni mwa mkoa wa Dar es Salaam.
1) Upande wa kusini; maeneo ya kutoka Mbagala rangitatu mpaka mkuranga.
2) Upande wa kaskazini; kutoka DSM mpaka Kibaha.
3) Magharibi; kutokea ukonga mpaka kisarawe.
Kama unaijua shule yoyote ya Private katika maeneo tajwa na jinsi ya kufika kwake nielekeze.
Zile ambazo hazifaamiki sana itakuwa vizuri.