Nitailaumu Serikali ya Tanzania juu ya vifo vya vijana wawili waliopoteza maisha vita vya Hamas na Israel

TikTok2020

JF-Expert Member
Oct 20, 2022
1,817
3,141
Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua.

Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu.

Nimemsikiliza moja ya ndugu wa Joshua akielezea namna serikali ambavyo haikuipa uzito suala ya vijana hawa wa Tanzania baada ya taarifa ya awali kabisa ya shambulio hilo la tarehe 07.10.2023.

Nimeitafsiri kwamba kwa sababu walikuwa ni watoto wa nobody ndio maana kulikuwa hakuna jitihada zozote za kuwezesha wao kupatikana wakiwa mateka au wamekufa hasa kwa upande wa Joshua inauma sana kujulishwa ndugu yako amefariki lakini mwili wake haujulikani ulipo😭

Inauma zaidi kusikia mateka wa nchi nyingine walofanikiwa kurudishwa makwao baada ya jitihada za serikali zao husika.

Najiuliza serikali ya Tanzania kuanzia balozi mpaka wizara ya mambo ya nje walikuwa wanafanya nini kipindi chote hicho cha miezi miwili mpaka leo wanaieleza familia ya Joshua kwamba alifariki 07.10.2023 na mwili wake haujulikani ulipo😭😭😭😭😭😭 hii sio sawa kabisa inauma na uchungu wake haubebeki


Nimevaa viatu vya familia ya Joshua havinitoshi😭😭😭😰😰😰

Tuwaombee pumziko la amani vijana wetu🙏🏻🕯️
 
Hii nchi sina uhakika hata kama wanajua kuna watz wangap huko!
Nakumbuka baada ya shambulio 07.10.2023 balozi alijitokeza na kusema idadi ya watanzania wote walioko huko na walitafutana isipokuwa Clemence na Joshua ndio walikuwa hawajulikani walipo😭
 
Pole sana Mkuu.

WANACHOJUA WAO NI KUWAZUIA CHADEMA KWENYE MIKUTANO YAO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Huyu mama pia ni hamas HATA KULE MOSHII kaa kimnya

anajitahidi balozi wa palestina aende cloud akate pumba

SAMIA SULULU NI MDINI
 
Hili tukio limethibisha Ukiazi wa Viongozi wetu inasikitisha sana.

Mimi hua naamini nikitoka Nchini huwa niko peke yangu hii Serikali haimjali Mwananchi wake tu zaidi ya kumlimbikizia Makodi na Matozo tu.
 
Akili ya gaidi ni sawa na panyaroad Sasa serikali ingefanya nini,gaidi anawaza bikira
 
Back
Top Bottom