Ngida1
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 586
- 206
Weka picha yako kwanza.
Ama kweli, nyani ni nyani tu!
Mtu anatafuta kazi wewe unataka picha ya nini? Kwani kakwambia anatafuta rafiki wa kalamu?
Kama unatafuta mchumba sio tueleze tu tukutafutie.
Weka picha yako kwanza.
Kaka edson asante sana kwa moyo wa kutaka kumsaidia mwanajamii mwenzetu,Mwenyezi Mungu atakubariki kwa hili,But hizi habari za Oslo nazo zinanishtua kidogo!!!nakusaidia hivi dada yangu.
njoo, au andika barua kwa kampuni ya Greenresources limited ambayo ni kamuni mama ya saohill industries iko iringa mafinga. anuani ni 55 mafinga, au tuma email kwa mkurugenzi wa kampuni anaitwa sangito sumari ,email yake ni sangito.sumari@greenresources.no
njia nzuri ni kutuma email huyu MD atakusililza ni mtu mwelewa sana, wahi mapema.
mimi ni mwajiliwa kampuni hii kama IT Manager.email yangu ni maleges@yahoo.com
namab yangu ya simu ni 0756876634.website ya kampuni ni www.greenresources.no
fanya hivyo dada yangu
Mkuu ulirudi lini toka Oslo Norway??
isije ikawa changa la macho binti wa watu.
nipo nimerudi nina wiki tu, nimekuja kufunga kiwanda kipya cha mbao kinaitwa hew saw(ambacho ni computerised), na kule nilipelkwa kuchimba zaida kitabu juu ya Mambo haya ya IT
upo mkuu
shemeji komaa na huyu huyu.ninyi ote ni wababe wa aitii,lazima msaidiane bwananipo mkuu nimekupata sana!!, sasa na mie natafuta kibarua nina kabachela kangu ka IT nataabika mtaani mkuu, tunaweza kusaidiana hapo ati.
cheErz.
0755259207
mukuru wewe ni senior member kabisaaa, lakini hiyo coment imekaa kivingine, hasa kwa mtu mwenye shida! picha kwani unataka ukamuuze? UNAKATISHA TAMAAWeka picha yako kwanza.