Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

Mimi namiliki Nissan Dualis 2008. What I can say ni it’s the best purchase I have ever made. Gari liko smooth on the road, posh inside yaani na ukipata ile ya rooftop kuwa na glass yaani ni kama unaendesha evogue. Pia iko juu sana. Nina kama mwaka sasa niko na hili gari, changamoto zake ni spare ni VERY EXPENSIVE...
mkuu elezea kidogo..mfano kitu gani kikiharibika na bei yake!! naitaji kujua na fuel consumption yake
 
Nissan gari ya starehe kiaina ukilinganisha na Toyota ila ujipange spea. Nimetafuta shock-up za Nissan Fuga mpaka duka wanaita MasterCard nimeambiwa hawana labda niagize nje. Beforward Bei imechangamka Sana. Najuta kuifahamu Nissan
Nenda website hii spareto.com naamini utaipata hio spare unayoitafuta
 
Ngoja wakujibu !! Wakikamilisha nakuja kuufunga uzi wako namwaga jamvi la kutosha
 
1601026841056.png

Habari wana JamiiForums, poleni sana na majukumu ya hapa na pale.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimetokea sana kuvutiwa na kulipenda gari aina ya Nissan Dualis lakini sina information za kutosha husu ili gari so nimeonelea nije apa kwa wadau mana najua humu ndani kuna fani za aina mbalimbali na pia wapo ambao wanalitumia, washalitumia na wana details za kutosha kuhusu hii gari.

Ninachotaka kufaham ni:-
1- Ulaji wa mafuta ukoje,
2- uimara wa gari,
3- Engine ya gari inasumbua ama ikovizuri,
4- upatikanaji wa vipuri ukoje.

Karibuni sana wadau.
 
Ndio mkuu.. na watanzania wengi ukiwauliza gari yoyote nje ya hizo watakuambia hiyo gari usinunue ni "pasua kichwa". Matokeo yake Watanzania wamekua waoga sana kununua gari tofauti na hizo walizozizoea na kwa sasa nchi nzima magari ni uniform.
Unachokiongea nikweli kabisa
 
Unachokiongea nikweli kabisa

Mkuu naongea kwa uzoefu. Wakati nimenunua gari yangu ambayo sio toyota, watu walinishangaa sana.. kuna jamaa alidiriki kunifata kabisa akaniambia aisee umeingia choo cha kike! Akaniambia hiyo sio gari bora ungenunua (akanitajia rundo la magari ya toyota).

Huu ni mwaka wa tano unaenda, gari haijawahi kusumbua chochote cha ajabu, spea nikifunga mara moja nasahau na nimeapa katika maisha yangu sitakuja kununua toyota! Kilichonifurahisha zaidi yule jamaa alienisimanga, yeye alinunua ARV4 ambayo tangu ainunue yenyewe inaishi gereji kila siku anagongea usafiri kwangu.
 
Mkuu naongea kwa uzoefu. Wakati nimenunua gari yangu ambayo sio toyota, watu walinishangaa sana.. kuna jamaa alidiriki kunifata kabisa akaniambia aisee umeingia choo cha kike! Akaniambia hiyo sio gari bora ungenunua (akanitajia rundo la magari ya toyota)...
Kweli kabisa atamimi nipo rafiki yangu alinunua kampuni tofauti na Toyota paka leo unaenda mwaka wa 6 hajawahi kubadilisha spear zaidi ya service ya kumwaga oil
 
Mkuu naongea kwa uzoefu. Wakati nimenunua gari yangu ambayo sio toyota, watu walinishangaa sana.. kuna jamaa alidiriki kunifata kabisa akaniambia aisee umeingia choo cha kike! Akaniambia hiyo sio gari bora ungenunua (akanitajia rundo la magari ya toyota)...
Toyota ARV4?
Nina RAV4 kilitime tangu mwaka 2008 bado sijajutia.Pia nina Nissan Serena tangu mwaka 2015 nimebadilisha hydrolic (4l kwa 200,000) mara moja tu,mbali na oil sijagusa kingine chochote
 
Nissan ni kama simu za samsung, hizo ni gari za kiduwanzi sana ukinunua leo baada ya mwezi utakuja kuuza robo bei. Hiyo dualis mwaka jana ilikua ni milioni 23 -28 milioni, Nissan Qashqai iilikua 34-38 soko la leo ukiagiza japan mpaka kuiingiza barabarani dualis ni 12-14 milioni Qashqai ni 18M-20M. Extrail mpaka milioni 8 unapata kudaadeki gari gan hizo? Bado service yake ni gharama sana.
 
Ndio nini umeandika hiki!?
 
Ni gari nzuri ndan "comfortable" hata mafuta ni kawaida

Utofauti wa gharama za spea kwa nissan haina option kivile kama spea za toyota
 
Mkuu naongea kwa uzoefu. Wakati nimenunua gari yangu ambayo sio toyota, watu walinishangaa sana.. kuna jamaa alidiriki kunifata kabisa akaniambia aisee umeingia choo cha kike! Akaniambia hiyo sio gari bora ungenunua (akanitajia rundo la magari ya toyota)...

Ungesema na ya kwako ipi
 
Back
Top Bottom