Car4Sale Nissan civilian bus kali inauzwa m 14

Au ikiwezekana weka hapa hapa pia haina neno so atleast na wengine wajifunze mfano kwa siku unapata kiasi gani na kwa week unapata kiasi gani na kwa week inafanya kazi siku ngapi na kwa mwezi inafanya kazi siku ngapi,na inaanza kazi saa ngapi na ina maliza saa ngapi haya yote nadhani n8 ya muhimu sanaa kwa mtu ambaye kama mimi tukielewana then nijue namna ya kudeal na hao watu maana wanadanganya sanaa ttaffic wakati uongo mtupu.....
 
Mkuu me nipo tayari kuichukua nitafute PM tafadhali ila ukinitafuta naomba nipe maelezo kwa siku inalaza kiasi gani na gharama zake kwa ujumla na tutafanya biashara bila tatizo kabisaaa......na uniambie namna ya kuimudu kama ulivyokuwa unafanya wewe alafu tuone nini cha kufanya.....sema kwenye bei tutaongea vizuri ika I am serious....
Mkuu samahani nilikuwa bize kidogo ndio maana sikukujibu kwa wakati. Gari bado ipo na tayari nimesha ku pm

Karibu tufanye biashara
 
Au ikiwezekana weka hapa hapa pia haina neno so atleast na wengine wajifunze mfano kwa siku unapata kiasi gani na kwa week unapata kiasi gani na kwa week inafanya kazi siku ngapi na kwa mwezi inafanya kazi siku ngapi,na inaanza kazi saa ngapi na ina maliza saa ngapi haya yote nadhani n8 ya muhimu sanaa kwa mtu ambaye kama mimi tukielewana then nijue namna ya kudeal na hao watu maana wanadanganya sanaa ttaffic wakati uongo mtupu.....
Inategemea mambo kadhaa, ni vizuri kuonana field
 
bec910f6d32abe3d79c0a6e321de9e00.jpg
 
Au ikiwezekana weka hapa hapa pia haina neno so atleast na wengine wajifunze mfano kwa siku unapata kiasi gani na kwa week unapata kiasi gani na kwa week inafanya kazi siku ngapi na kwa mwezi inafanya kazi siku ngapi,na inaanza kazi saa ngapi na ina maliza saa ngapi haya yote nadhani n8 ya muhimu sanaa kwa mtu ambaye kama mimi tukielewana then nijue namna ya kudeal na hao watu maana wanadanganya sanaa ttaffic wakati uongo mtupu.....
Sawa weka mambo wazi vinginevyo makusanyo hakuna anahamisha matatizo kwa mwingine no dhambi ndugu
 
Mkuu me nipo tayari kuichukua nitafute PM tafadhali ila ukinitafuta naomba nipe maelezo kwa siku inalaza kiasi gani na gharama zake kwa ujumla na tutafanya biashara bila tatizo kabisaaa......na uniambie namna ya kuimudu kama ulivyokuwa unafanya wewe alafu tuone nini cha kufanya.....sema kwenye bei tutaongea vizuri ika I am serious....
Swali zuri,unapata ngapi kwa siku bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom