Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
mkuu au za yule mwenye mistari ya "ugali wa muhogo" na mbuzi wa kutaga
 
Back
Top Bottom