Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

Alishazoe kuandikiwa na lolypop nyimbo unatarajiaje ngoma itakuwa kali
 
mi naiependa ya baraka da prince,ben paul na Mr blue...jaman blue hatar kamchana x wake asione wivu eti wake steve..nkajisemea Naj si yuko na baraka vijembe gani hvi jaman.
Wimbo gan huo wa blue kasema ivyo
 
Jamani ule wimbo ni mbaya kias kwamba nimeuskiliza jana saa sita nilichelewa hadi kulala yaan usingizi uligoma hadi saa kumi hivi. Promo iliuzidi wimbo

*ukweli utatuweka huru
 
Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?

Mbaya kama takataka tu!!!yani ckutegemea kabisa
 
kumbe uliusikiliza maana uliuona mbaya kabla ya kuusikiliza. Pole kwa usingizi kugoma
Hahaha
Mi uwa naamini taste zako Mrs Van, ulipo sema, wimbo una walakin nika amini, nilipo sikiliza nikahisi kumbe hata wewe uli wasitiri kidogo kina da prince wimbo hovyo
 
Back
Top Bottom