Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

Bonge la wimbo hatariii
Kero na mashaaaaaka tele ugomvi kutwa nzima
King kibaaaa tishaa sana
 
Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
Kwahiyo unalialia nn umelazimishwa
 
Imma the boy katengeneza beat mbovu, baraka kabana sana pua halafu sauti kuna sehemu inakuwa juu ya beat.
Ila nimependa king kiba alivyoimba.
 
sasa kama wew huupendi unatuambia sis ili tufanye nin wewe, nasis tukuige wew au! mziki ni skio na kila mmoja analake bhana we vp
 
Back
Top Bottom