nisaidieni

boaz ngara

Member
Feb 29, 2012
16
1
kuna dada ambaye nimetokea kmpenda sana anaishi bali nami kidogo,niliweza kupata namba yasimu tukawa tunawasiliana vizuri na japo mi namfahamu ye2 alikuwa hanijui nimeweza kufunga safari na kufika anapo fanyia kazi hakuweza kunikalibisha ndani kwake tofauti na kuwa mkali.huku akihoji niliko toa namba,naakidiliki kusema nifute namba yake kwenye sim yangu,na bado nampenda nifanyeje
 
Mtu humfanyia anayempenda yale ayatakayo! Basi futa namba yake na usimfuate kama kweli unampenda!
 
kuna dada ambaye nimetokea kmpenda sana anaishi bali nami kidogo,niliweza kupata namba yasimu tukawa tunawasiliana vizuri na japo mi namfahamu ye2 alikuwa hanijui nimeweza kufunga safari na kufika anapo fanyia kazi hakuweza kunikalibisha ndani kwake tofauti na kuwa mkali.huku akihoji niliko toa namba,naakidiliki kusema nifute namba yake kwenye sim yangu,na bado nampenda nifanyeje

Ulitakiwa uanzie ofisini kwake au kwake kujitambulisha na kuomba namba, sasa wewe umeanza na namba kisha kumfuata wakati yu karibu. kajifunze maswahibu ya kutongoza yakoje. kaza mwendo ila ujiamini.
 
pole, ukipewa za uso afu wewe umefika bei inakera.

Pumzika kwanza, utaanza mashambulizi ya kiutu uzima baadae kidogo.

Ila mbona nakuona mtoto sana kufuata mtu anayefanya kazi? Au unakuwa ki-volume na age tu.
 
kuna dada ambaye nimetokea kmpenda sana anaishi bali nami kidogo,niliweza kupata namba yasimu tukawa tunawasiliana vizuri na japo mi namfahamu ye2 alikuwa hanijui nimeweza kufunga safari na kufika anapo fanyia kazi hakuweza kunikalibisha ndani kwake tofauti na kuwa mkali.huku akihoji niliko toa namba,naakidiliki kusema nifute namba yake kwenye sim yangu,na bado nampenda nifanyeje

Wrong approach! lakini kama una uhakika huyo binti hana mtu kwa sasa (Usije ukaingilia mapenzi ya watu ni jambo baya sana), still bado una nafasi nzuri ya kujaribu kwa mara ya pili tena. Cha msingi tafuta muda umtafute physically na kumuomba msamaha kwa upole kwa kile ulichokifanya na mwambie wazi haukufikiria kuwa jambo hilo lingemkera kiasi hicho. Pia utafute second appointment na kumuelezea kinaga ubaga jinsi moyo wako unavyoenda arijojo kila ukimuona. Nafikiri kama ni muelewa atakuelewa tu.

Best of lucky,

HP
 
Ulitakiwa kujenga urafiki kwanza then baadae ndio uingize habari ya mapenzi!
Si wanawake wote wanajirahisisha kiivyo.
 
dah pole mkuu! But kwa aproach uliyochukua usingetegemea jibu zuri..wakati mwingine anakuzingua kupima uzito wako.
Don give up,kaza but
 
Umeona kijana watu wenye miujuzi kwenye mambo flani vuta subra wanakuja wengine yani mpaka mchana hapa umejaza kitabu chakujifunza kutongoza utakua moto wakuotea mbali subiri .....
 
Tatizo fomesheni uliyotumia ndio imekuangusha ........
MP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom