Nisaidieni wanajamii

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Naombeni mawazo ya kuandika barua ya kuahurisha mtihani wangu wachuo, coz nimepata msiba.
kama kuna mtu anayo aindike tu mimi nitabadilisha baadhi ya vitu.
wanajamvi nisaidieni.
 
kwa kiingereza au kiswahili?mmmh! Alaf upo chuo gani hicho mpaka unashindwa kuandika barua??! Hukusoma 'communication skills' ambayo kila 1st yr student ktk chuo chochote kile kinachotambulika ni lazma aisome?! Anyways,sbr kdg nikadese ntarudi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom