Elections 2010 Nisaidieni ndoto hii

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
199
Jana usiku nimepata message kupitia namba yangu ya tiGo ikinitaka nimchague mgombea wao Kikwete kwa sera nzuri za CCM. Nilishtuka sana na kujiuliza wameipata wapi namba yangu. Nilipolala nikaota ndoto kuna joka kubwa la kijani limeingia chumbani kwangu likiniomba niishi nalo na kuniahidi halitanidhuru. Ndugu zangu nahitaji msaada wenu wa Kisheikh Yahya kujua maana ya ndoto hii.
 
ndoto hiyo inamaanisha wewe utakufa tarehe 30 mwezi huu kuamkia tarehe 31,pia kama alivyosema mdau mgombea urais umpendae atakufa kabla ya masaa mawili ya kuanza kupiga kura,na chama ukipendacho kitakufa kifo cha kawaida mara tu baada ya tarehe ya uchaguzi kupita,tena kifo kibaya kuliko kile cha NCCR!! jiandae kwa mazishi yako mwenyewe!
 
ndoto hiyo inamaanisha wewe utakufa tarehe 30 mwezi huu kuamkia tarehe 31,pia kama alivyosema mdau mgombea urais umpendae atakufa kabla ya masaa mawili ya kuanza kupiga kura,na chama ukipendacho kitakufa kifo cha kawaida mara tu baada ya tarehe ya uchaguzi kupita,tena kifo kibaya kuliko kile cha nccr!! Jiandae kwa mazishi yako mwenyewe!

duh nimechoka na jf
maneno yote kuntu nimebaki hamu!!!
 
AK-47 kuna tangazo la Mrisho Mpoto lisemalo "dudu liumalo usilipe kidole" sasa kama alivyosema zakwako changanya na za mwingine utapata jibu.
 
Ndoto ni bayana,na huwa zina ujumbe kamili.Ulichokiona ni kuwa hilo joka la kijani ambalo halitakudhuru ni kuwa kuna mgombea ambaye gamba lake la nje ni rangi ya kijani.....
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh: lol! mbavu zangu mie JF kuna mambo hasa.... sikujua kuna mashekh yahaya wengi hivi humu ndani maana na hasira za jana za Tunduma zimeisha kwenye ndoto hii
 
nyoka ni alama ya uovu yaani
  • rushwa
  • ukabila
  • udini
  • mitandao ya utawala wa kijeshi (junta)
  • ufamilia
  • kulindana
  • ukandamizaji
  • ushirikina
  • fiksi
  • vitisho nk
rangi ya kijani ni ishara ya amani.

TAFSIRI

utabiri aliofanya yesu kwenye mathayo 7:15 umetimia kwako mkuu wa darfur, aliposema kwamba tujihadhari na manabii wa uonga (joka) wanaokuja kwa mavazi ya kondoo (rangi ya kijani) kumbe ni mbwamwitu wakali (swira).

ni wazi wanasiasa wa kisasa wanaonekana watu; ukweli ni mamba wala watu!!!:croc:

il
 
hii ndio tafsiri ya ndoto yako pale zitto kabwe anapohesabu hela zilizochangwa na wananchi badala ya ccm kuwahonga wananchi khanga na kofia



IMG_3773.JPG



3.JPG
 
Joka la kijani = ccm
anaomba kura yako
sasa hapo uamuzi ni wako...utaweza kuishi nalo?
Halitakudhuru huko mbeleni?
Joka = shetani, muuaji, mwizi, muongo, fisadi, mfiraji, mzinzi, mwenye gonjwa baya aka umeme, nk...
 
Nawashukuru Masheikh Yahya wote kwa utabiri wenu hakika mpo makini na kazi yenu ya kishirikina
 
Joka la kijani ni JK na CCM yake, kuomba hifadhi maana yake ni kuwa baada ya mbinu zooote walizopanga kuchakachua kura kugonga mwamba wameamua kusalimu amri na kukubaliana na matakwa ya wapiga kura wa nchi hii na kuondoka pale magogoni kichwa chini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom