Zumbukuku
Member
- May 17, 2011
- 70
- 26
jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?
I know what is going' on over your mind.. Nilishawahi kuwa kwenye same state..kama hiyo..kuna vitu vingi vinachangia kikubwa ni background life ..toka utotoni ..shule hadi sasa.. Nakumbuka wakati niko mdogo nilikuwa napenda kujificha chini ya meza na hasa wakija wageni..wakati niko sekondari nilikuwa nakimbilia chumbani...yaani kwa mtoto wa kiume ni kituko....wakati niko chuo nilikuwa napenda ku-enjoy kuoberve wenzangu wakiwa active nami kuingilia tu pale tu inapobidi ..baada ya kuwachora sana....baadaye masomo....kazi..blah blah..Anyway..sometime you feel like having two souls inside yourself..the one enjoying to see things over the top..but reluctant to take actions..but other very active and would like to go out and open itself with the external factors..Then, what happens...friends, folks in the office, relatives.. will never understand who you are..Outside..yes..big smile, reserved, intelligent etc.. Inside..two forces confronting each other..What I would like to advise you is to go back and listen to your confronting souls.. It is not a matter of faith..society or whatsoever..It is a matter of human instinct ..it is a normal feeling..you need to compromise yourself with your confronting souls.. No one here will help you..it is yourself..when you break your chain..please come back tell us you have managed to reunite two souls together.. You may not notice changes and it could take some time.. But you will notice peace in your mind .....Good luck ya!:smiling: