Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

Umeyakuza mwenyewe hilo bifu halitaisha labda ubadili kazi au ofisi,pole kwa masaibu yaliyokukuta ila ni kazi ndogo sana kubali yaishe mridhishe,ila usikubali kujenga kibanda ukifanya hivyo umekwisha!ukimridhisha atanyamaza na kutunza siri ila ukimkorofisha anaweza kukuzushia ulitaka kumbaka,yote ni maisha na haya siyo mageni katika haya maofisi tena bora huyo ni mhudumu angekuwa bosi wako hata kazi ungesimamishwa,mwanamke akidhamiria jambo lazima alitimize,asipolitimiza yupo tayari kufanya chochote ilimradi atimize ndoto yake,masaibu kama haya yanawasibu wengi katika haya maofisi yetu ila yanakamilika kwa siri na hali inabakia shwari,sasa ni juu yako kusuka au kunyoa ila ukumbuke ulilolifanya siyo jema kwa mwanamke anayekufuata kwa jinsi hiyo huyo yuko tayari kwa lolote liwe la mvua au la jua, yaani liwalo na liwe kazi kwako
 
Kwa haraka haraka unaweza kufikiri kuwa anakupenda sana, hapo kaka unatakiwa kuanza kupewa invoice.. kosa hapo ni wewe kujaribu kula mzigo, utaziona invoice!!! Angalia sana..
 
Nimetoka kumpigia ajie vitu vyake, nimemuambia sitaki mambo ya kihuni, kanijibu kwamba, yeye sio muhuni labda mimi ndio muhuni na kwamba yeye kaishanipa zawadi hazichukui tena kama nataka kuzirudisha ntajua pa kuzipeleka.Good news nikwamba hatujaongea kwa friendly tone. Nimekoma, huyu mwanamke kanibadirikia

Pia fikiria huyo mdada ndo angekuwa MKE wako, utathubutu kweli kumchekeachekea?!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimetoka kumpigia ajie vitu vyake, nimemuambia sitaki mambo ya kihuni, kanijibu kwamba, yeye sio muhuni labda mimi ndio muhuni na kwamba yeye kaishanipa zawadi hazichukui tena kama nataka kuzirudisha ntajua pa kuzipeleka.Good news nikwamba hatujaongea kwa friendly tone. Nimekoma, huyu mwanamke kanibadirikia

Dah... Kijana how old are you, seriously!! Mbona unachemka.... sasa umefanya nini utajidharaulisha.. wewe ulitakiwa kistaarabu na kwa kutunziana heshima unachomoa... yaani unaonekana bado mtoto sana... dah mpaka umeniboa...sikiliza unajua sisi ni binadamu, kuna uwezekano kweli alikutaka na kwa nia njema tu kwa mtazamo wake.. lakini kosa hapo ni kuwa yeye ni mke wa mtu.. na wewe hutaki.. hivyo kiume.. una mchomolea ki ujanja tu mwisho anakuona kuwa hutaki na heshima inabaki pale pale... naona wewe sasa unataka ukipita uwe unasikia misonyo ile ya nyooooooo... ona senge hilo unatafuta bifu hapo.
 
wewe ndio utakuwa na matatizo, huo ushauri unaoutoa unamadhara makubwa kuliko kuitwa ******, by the way mimi mwenyewe ni shahidi kwamba mimi sio ****** I do not need to prove it to any one? haujawahi kupata experience ya watu kuzushiwa na wanawake ni mahanithi ili wakasirike na kuwashughulikia kuprove otherwise?
 
Mi naona wote mmeanguakiana tu,si ulimwona anaongea na mlinzi ukamzidi kete mlinzi kwa kumwomba umtoe lunch?ama macho yangvu?
 
wewe ndio utakuwa na matatizo, huo ushauri unaoutoa unamadhara makubwa kuliko kuitwa ******, by the way mimi mwenyewe ni shahidi kwamba mimi sio ****** I do not need to prove it to any one? haujawahi kupata experience ya watu kuzushiwa na wanawake ni mahanithi ili wakasirike na kuwashughulikia kuprove otherwise?
Sangarara, wewe ndugu yangu kauka tu.. kwakuwa ushamwambia na anajua hutaki hiyo kitu cool down..acha hizo mambo nyingine...huwezi kuanza kurushiana maneno nae atakuzidi tu... cool down.
 
Hamna kitu kama kurushiana maneno, hapa ninapopost hii comment niko kwenye wakati mgumu sana, toka juzi huyu mwanamke ananitumia sms kwenye simu yangu na kunipa kazi ya ziada kuzidelete, actions zake ni aggressive kuliko maneno, wewe badala ya kunipa moyo unanishambulia, huyu mwanamke anatuma sms ananiambia nijiandae kwa safari next month nikijua tutakuwa wote, you know what that means?
 
Pole,if and only if ni true.Jibu unalo wewe mwenyewe hata ukipewa ushauri,kama hauko tayari kubadilika ni kazi bure.Wewe inaonekana unataka,otherwise ungemwambia ur not interested na usingetuomba ushauri.Inabidi nikushauri kisecondary secondary " mwambie uko tayari kuwa naye,under one condition i.e upate ruhusa kutoka kwa mumewe".by the way wanawake au wanaume huwaponda wenzi wao wanapokuwa wanawinda.
 
Hamna kitu kama kurushiana maneno, hapa ninapopost hii comment niko kwenye wakati mgumu sana, toka juzi huyu mwanamke ananitumia sms kwenye simu yangu na kunipa kazi ya ziada kuzidelete, actions zake ni aggressive kuliko maneno, wewe badala ya kunipa moyo unanishambulia, huyu mwanamke anatuma sms ananiambia nijiandae kwa safari next month nikijua tutakuwa wote, you know what that means?

OK...sasa nakuelewa... mimi nilichokuwa naona noma ni ile issue ya pale ofisini kuwa na aina fulani ya ka ugomvi...sasa kama unamwona analeta hizo... mwambie kuwa unamtafuta mumewe na unazo message zote unamwonyesha kama hata acha upuzi... na kweli make sure unazo hizo message zako za ajabu ajabu... akizidi kweli mtafute mumewe na mpe... utakuwa umemaliza huo upuuzi wake... halafu kama hakijatokea kitu una kula jiwe.
 
Mkuu message nadelete, au unataka nisurudi nyumbani nini? Nikifika tu home wife anachukua simu toka niko mlangoni naziachaje sms kama hizi?
 
Nooo kaka.. mimi nimesha wahi pata tatizo kubwa zaidi ya hili... lakini linaendana na hilo.... hapo wewe mweleze kwanza wife... juu ya huyo mwanamke mchafu.... manake kwa sasa unavyofanya unaweza kujisahau ukaonekana ulikuwa na isue nae, au akituma usiku umelala utafanyaje.. mweleze wazi wife kuhusu hiyo kadhia... na mweleze nia ya kumshtaki kwa mumewe maana yake umemwambia kistaarabu haelewi.. yaani utapata amani , kuliko unavyofanya sasa.
 
I will think about this. Thanks
 
I will think about this. Thanks

Kila laheri ndugu.. na pole sana.. samahani mwanzo nilijua ni issue ndogo tu ila wewe umepanick ila naona imekuwa sasa ni kama harassment kutoka kwa huyo mama.. Naomba baadae nipe feedback itakapoishia... na ikitulia kabisa itabidi unipasie huu mzigo mzeee manake unaonekana unajua kupenda....hahaha just kidding the last part.
 
Nikutumie number?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom