Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Toka nimehamia Kampuni hii sijamaliza hata miezi mitatu jamani lakini huyu mdada/mmama naona anataka kuniangusha kinguvu sasa.

Inawezekana makosa niliyafanya mimi mwanzoni, lakini ilivyokuwa ni kwamba, kama kawaida kwenye maofisi mengi huduma za chai jikoni kila mtu anajiservia na kusafisha kikombe mwenyewe, mimi the first day nimefika kiutani tu, tukiwa jikoni wengi nikasema hili swala la kusafisha kikombe wakati nyumbani nasafishiwa sintaliweza, ikaibua mjadala kidogo pale nikajua yameisha.

Baada ya kama wiki hivi huyu mdada, akanifuata ofisini kwamba amejia kikombe akasifishe, nikamuambia asante kwanza sijamaliza kunywa chai, nikajua yameisha, baada ya nusu saa akarudi tena akakichukua na kuniambia kama sijali atakuwa ananiservia kabisa nikajichekeshachekesha nikijua ni utani tu. Kosa, mdada alikuwa serious toka siku hiyo naserviwa chai na kusafishiwa kikombe na tayari wadada wengine hapa wamekwishaanza vicheko vicheko vya kijinga.

Kosa la msingi ni siku nilipomkuta getini anachekacheka nawalinzi lunch time, on her way out, nikaomba kumtoa lunch akakubali, nayo ikazua tabia, sasa hata lunch lazima twende wote, ikafikia hatua Mkurugenzi akaniambia, "Kiongozi Mke wa mtu huyo, kama uko interested usijifungie ofisini wako mabinti walembo sana humu ndani bwana jitahidi kuzunguka kidogo" nikajua hii issue sasa inaelekea kubaya.

Siku moja akaanzisha story za kifamilia na katikati akaniambia mme wake hamridhishi, nikatoa ushauri wa nini afanye huku nikichagua maneno kwa uangalifu mkubwa sana, kesho yake asubuhi aliponiletea chai, akaniambia ushauri wangu haukusaidia kitu, nikamshauri asikate tamaa, sasa ikawa kila siku naletewa malalamiko silidhishwi silidhishwi, ghafla ijumaa iliyopota asubuhi na mapema ananiambia ameota tumedo, na amefurahi sana, na alipoamka alikuta kujichafua, moyoni nikajua hapa mimba ya uovu imeishashika. leo mchana huu tumetoka kula lunch, tulikuwa wengi kidogo, kanifuata ofisini kanipa kimfuko ananiambia zawadi yangu, kabla sijaandika post hii, nimekiangalia ndani nimekuta chupi na kondomu.hapa nimepandwa na kiwewe.

Nisaidieni maombi jamani.

Mlishonyuma: Leo sijaletewa chai (japo nilijihami nimekuja nayo toka home); na sijamuona, ila yupo.
 
nike (just do it) ila ukikamatwa na mwenye nacho na kuliwa tigo usije kutulaumu hapa kwa kukupa ushauri mbaya.
 
Ha ha haaaaa!
Naona mzee upo kwenye hatua za mwisho za kujisajili na gharama zisizo na sababu, na kwa mwelekeo ulivyo tayari kichwa na kiuno vishaingia, bado ugoko wa mguu mmoja tu.
Kuna watu kadha wameshasema hapa ndani kuwa wanaume nyakati kama hizo tunawaza kwa kutumia kiuno, nahofia jomba we ni mmoja wao.
 
umeyataka mwenyewe.uli flirt naye na yeye amenogewa.if you are not interest with her,mbona ni rahisi mtu kumwambia ukweli?na chupi zake mrudishie mwenyewe.punguza maongezi na yeye,mjibu kimkato mkato tu.ila ukijilegeza,utaingia kwenye mtego
 
Ha ha haaaaa!
Naona mzee upo kwenye hatua za mwisho za kujisajili na gharama zisizo na sababu, na kwa mwelekeo ulivyo tayari kichwa na kiuno vishaingia, bado ugoko wa mguu mmoja tu.
Kuna watu kadha wameshasema hapa ndani kuwa wanaume nyakati kama hizo tunawaza kwa kutumia kiuno, nahofia jomba we ni mmoja wao.
baba upo?? ni salamu tu mzazi wangu!
 
Unajichimbia kaburi wewe mwenyewe mke/mume wa mtu sumuuuuuu hapa jamvini kila siku wanasema huelwe tu au huwa huoni mada za mafumanizi hapa na picha za mafumanizi hebu tafuta hizo thread uziangalie kwa muda then utajua moja uendelee au uache ,
 
nasikitika kuona vitu vivi tena ni mwanajamvi wa long time sana umeona visa vingi then una be temped kama inzi na buibui just anapitisha kale ka uzi we tayari umenasa wacha ujinga wewe
Join Date : 29th September 2011
 
Mie nashangaa sana si ujisevie tu chakula kimejileta, Kimbweka huwa halazi damu anakupa kitu ukalale......
 
Mmmh..Pole kaka! Ila hapo ni suala la kuwa SERIOUS kama kweli hutaki hiyo biashara maana kwa haraka haraka nilivyo kusoma inaelekea unamuendekeza.. Kama hutaki sema NOOOOO..! KIMBIA KISHAWISHI..
 
He he he he he he
Sangarara bana, hebu kuwa na akili za sangara acha kuwa na akili za nembe.

Hebu meza mkono huo? Mbona wewe mkubwa kabisa wala hautakwama kooni.
 
Huyo mwanamke anaonekana hajatulia na usipoangalia utaingia pabaya!Siku hizi magonjwa mengi na usimuamini sana kwani ni mke wa mtu,unafikiria ukionja utaweza kuacha?Tatizo ni mkishazoeana na ukaendelea kula raha siku moja shetani atakupitia na utaacha hata kutumia zana na unaweza ukawa unajichimbia kaburi!
 
usimtamani mke asiye wako!! kama mumewe hamt#&$@ vizuri mwambie anunue dil%$ vinginevyo ni kujitafutia madhara. unaweza hata kupoteza kazi maana kutembea na mke wa mtu kazini sio tija
 
umeyataka mwenyewe.uli flirt naye na yeye amenogewa.if you are not interest with her,mbona ni rahisi mtu kumwambia ukweli?na chupi zake mrudishie mwenyewe.punguza maongezi na yeye,mjibu kimkato mkato tu.ila ukijilegeza,utaingia kwenye mtego
Nimekuwa nikimjibu kimkato mkato always, lakini wakati mwingine unamjibu kimkato kiasi hata yeye anakosa neno ka kuongezea lakini haondoki, anakaa hapo mnaangaliana, unafanyaje sasa, umfukuze??
 
ndugu achana na huyo mke wa mtu. utaliwa tigo kama ukijaribu kudo nae.

nikupe kisa cha mfanyakazi mwezangu hapa kampuni ya bia......, siku hizi kuna watu ukila mke wake anawatafta mabaunsa wanakushikisha ukuta alaf during the process wanachukua simu yako na kuwapigia namba za watu wa kazini kwako pamoja na mkeo <kama unaye> na kukulazimisha uwambie kuwa unaliwa tigo muda huo.

basi jamaa wakachukua jina liliseviwa boss, utility manager, supervisor na mkewe...., wakapiga na kumwambia awambie kuwa analiwa tigo,.... na ilikuwa mida ya saa 6 usiku. basi kesho yake jamaa kwanza kaja job amechelewa na kuanza kujitetea kwa watu aliowapigia kuwa alikuwa anawatania....

lakin siri ilivuja tukainyaka...... saiv full mi-aibu kila kona.

mke wa mtu sumu kaka.....
 
wote sema uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ndoa sas imeku ndoano
 
Mmmh..Pole kaka! Ila hapo ni suala la kuwa SERIOUS kama kweli hutaki hiyo biashara maana kwa haraka haraka nilivyo kusoma inaelekea unamuendekeza.. Kama hutaki sema NOOOOO..! KIMBIA KISHAWISHI..

Mkuu, sijawahi kupata opportunity hata mara moja ya kusema no, leo ndio nimejua kwamba alikuwa anasiri gani, naamini huu ni wakati muafaka wa kumuambia NO. Nimetoka kumpigia simu hapa sasa hivi kumuambia achukue vitu vyake mi sitaki mambo ya kihuni, alinichonijubu ni kwamba, Labda mimi ndio muhuni lakini yeye kanipa zawadi basi, kama sizitaki ntajua ntapozipeleka mimi mwenyewe? unaona eenh.
 
umeyataka mwenyewe.uli flirt naye na yeye amenogewa.if you are not interest with her,mbona ni rahisi mtu kumwambia ukweli?na chupi zake mrudishie mwenyewe.punguza maongezi na yeye,mjibu kimkato mkato tu.ila ukijilegeza,utaingia kwenye mtego

Nimetoka kumpigia ajie vitu vyake, nimemuambia sitaki mambo ya kihuni, kanijibu kwamba, yeye sio muhuni labda mimi ndio muhuni na kwamba yeye kaishanipa zawadi hazichukui tena kama nataka kuzirudisha ntajua pa kuzipeleka.Good news nikwamba hatujaongea kwa friendly tone. Nimekoma, huyu mwanamke kanibadirikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom